Wanaoshindania miss shinyanga

Wanaoshindania miss shinyanga

Bitende

Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
33
Reaction score
6
mamis wakiwa wamemaliza kupokea kadi za chama cha mapinduzi
 

Attachments

  • SL270094.JPG
    SL270094.JPG
    528.3 KB · Views: 712
  • SL270082.JPG
    SL270082.JPG
    590.5 KB · Views: 652
kwa hiyo hao ni mamiss wa shinyanga kupitia chama cha ccm......kweli ni hatari
 
mamis wengi ni low score
mi sishangai
 
Itakuwa Miss Ccm Shinyanga and no more!
 
Baada ya fumanizi mbalimbali wameona njia nzuri ni kutengeneza "hazina".
 
Hizi always zinakuwa Super div 0 za form IV, yaani F saba; Form Four For Four years Fighting For Food.
 
Back
Top Bottom