Bitende Member Aug 20, 2011 33 6 Jul 5, 2012 #1 mamis wakiwa wamemaliza kupokea kadi za chama cha mapinduzi Attachments SL270094.JPG 528.3 KB · Views: 705 SL270082.JPG 590.5 KB · Views: 648
promiseme JF-Expert Member Mar 15, 2010 2,707 931 Jul 5, 2012 #2 haya tuna wasubiri kwenye magazeti...
Wilbert1974 JF-Expert Member Feb 10, 2011 1,632 478 Jul 6, 2012 #3 promiseme said: haya tuna wasubiri kwenye magazeti... Click to expand... Wanaandaliwa kuwa wabunge viti MAALUM 2015:loco:
promiseme said: haya tuna wasubiri kwenye magazeti... Click to expand... Wanaandaliwa kuwa wabunge viti MAALUM 2015:loco:
PingPong JF-Expert Member Dec 21, 2008 926 160 Jul 6, 2012 #5 kwa hiyo hao ni mamiss wa shinyanga kupitia chama cha ccm......kweli ni hatari
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Jul 9, 2012 #9 Itakuwa Miss Ccm Shinyanga and no more!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Jul 9, 2012 #12 duh kweli sisiem ina mbinu chafu.......
I IPECACUANHA JF-Expert Member Feb 19, 2011 3,216 1,906 Jul 9, 2012 #13 Baada ya fumanizi mbalimbali wameona njia nzuri ni kutengeneza "hazina".
MDAU JR JF-Expert Member Mar 9, 2011 451 82 Jul 13, 2012 #16 Hizi always zinakuwa Super div 0 za form IV, yaani F saba; Form Four For Four years Fighting For Food.
Hizi always zinakuwa Super div 0 za form IV, yaani F saba; Form Four For Four years Fighting For Food.