expand...Wapo waliopata fedha na wana fedha na wameishia kupata maumivu kwa magold digger tu,
Mru anajiuliza huyu mwanamke kakosa nini kwangu mpaka atoke na kale " kajamaa" kadogo kenyewe hakana hata ajira kanashinda betting tu...!
Yakupasa kuelewa mapenzi yako ki hisia zaidi , na hapa ndio wanaume wengi wanapofeli jisni ya kujiconnect emotionally na kum-attract sexually mwanamke.
Wengi hukimbilia kuhonga ovyo ovyo , kujisfia hao ni watu wa hadhi fualin , au kujishow wako stable kiuchumi ili kumvutia mwanamke kimapenzi.... na hii ni very wrong!!!