Wanaosema ACACIA wako sahihi wamewahi kujiuliza hili swali dogo?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
 
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Cupper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
Mtoa post unazingua unavo Sema lasmi inatugalimu unamaanisha nini kwamba kulikua na udanganyifu kwenye lipoti?
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema na kutuaminisha kuwa hizo tani 15 ni madini pia?

Nadhani ni makapi hayo
 
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?

Mh mitale na midimu haya mambo yatakuumiza kichwa sana maana unayajua kwa juu juu sana.

Ila nikuelimishe tu kidogo Mkuu wangu...unapoambiwa labda grade ya dhahabu kwenye tani moja ya mchanga ni labda 2 (yaani 2g/t Au) ni kwamba ukichenjua hyo tani moja utapata gram 2 za dhahabu. Kinachobaki sio dhahabu ni madini menguine na mchanga ambao pia ni Madini au udongo.

Kwa hyo kama inasemekana tani 20 za makinikia zina hzo tani 5 za Madini unayosema kinachobaki baada ya hayo Madini kutolewa ni mchanga/uchafu ambao labda unaweza kuutumia kwa kujengea nk nk.
 
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
Kaupitie mkataba wako hizo azikuhusu si ndio ulivyo saini
 
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
15 ni machicha mkuu.
embu muulize mama... baada ya kuchuja chai au kukuna nazi, yale mabaki anayafanyia nini?
 
Pale hata wasio na uelewa wanapojaribu kusemea jambo wasilojua!Umeambiwa wapi tani 5 zinapatikana kwenye kontena la tani 20?
 
Hakuna anaebisha tunaibiwa
tunabisha hizo njia za kuwakamata sio sahihi

Kingine tunabisha ukweli wa serikali

Serkali hii hii imeongopa sana kwenye mambo meengi
Juzi tu walisema Manji muuza dawa za kulevya
leo mtu yupo huru mtaani hata kesi moja wameshindwa kufungua

hii serikali ina sifa ya kukurupuka na kuongea uwongo...
 
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
Ngoja vijana wa ufipa waje
 
Pale hata wasio na uelewa wanapojaribu kusemea jambo wasilojua!Umeambiwa wapi tani 5 zinapatikana kwenye kontena la tani 20?
Usidhani nimekurupuka ndugu.
Najua average amount ya hizo bidhaa Tatu kwa Mujibu wa Muwekezaji gold 3kg, silver 3kg na copper 3,000kg au Tani 3.
Ndio maana Nimekupa kadilio la juu kupitiliza yaani 5000kg.

Haya niambie hizo kg 16994 ni nini....
 
Back
Top Bottom