Nyinyi vijana sijui mnakwama wapi
Mzungu amenda kwa mwanaume akachukua shahawa na akaenda kwa mwanamke akachukua yai akaingia navyo maabara akaviweka katika chupa tena kwa condition zile zile za Mungu ikiwepo temperature sasa hapo cha ajabu nini?
Mpaka hivi sasa tunavyoongea hakuna mwanasayansi yoyote anaeweza kutengeneza shahawa na yai la binaadam wanatumia hayo hayo ya Mungu na kufuata conditions zake muhimu
Na kama mnazani wanasansi hawaamini uwepo wa Mungu mnajidanganya maana kuna tafiti nyingi wanafanya mwisho wanagonga ukuta na hapo ndipo wanapokubali uwezo wa Mungu
Mfano Expansion ya maji wanasansi wameita anomalous expansion kwa sababu ni expansion ya ajabu ipo tofauti kabisa na expansion za vimiminika vyote
Maji yapo kuwa ice density yake inakuwa ndigo hivyo ice ina kuwa inaelea ju ya maji Mungu amefanya hivi ili samaki waweze kuishi katika nchi za baridi utakuta bahari imefunikwa na barafu lakini huko chini kuna maji ya kawaida na maisha ya samaki yanaendelea mpaka Leo wanasansi hawana jibu katika hili wamemuachia Mungu mwenyewe
Nyinyi ni vilaza wa vilaza mnadanyana tu