sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,765
Sio naviamini, navielewa.Kwahiyo wewe unaviamini vitabu vya historia.
Basi hivyo ndio vitabu vyako vya kiimani, japo umeamua kuviita vya historia.
Sio naviamini, navielewa.Kwahiyo wewe unaviamini vitabu vya historia.
Basi hivyo ndio vitabu vyako vya kiimani, japo umeamua kuviita vya historia.
Ni upimbi kufikiri kizembe kama hivyo kuwa "I don't know the answer, therefore God did it."Ili usionekane kila sema ni nani aliyeweka mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako?
Ukimjua aliyeweka mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako ndio itakuwa uthibisho wako kuwa Mungu yupo na ndio utakuwa mwisho wa ukilaza wako
Maana yake ni kwamba wewe ni kiumbe dhaifu sana kiasi kwamba hata aliyeweka mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako humjuiNi upimbi kufikiri kizembe kama hivyo kuwa "I don't know the answer, therefore God did it."
Watu waliihusisha radi na Mungu anayeitwa Thor, Zeus na wapo wagiriki wa kale waliohusisha mafuriko na Mungu mwenye hasira "Poseidon"
Yote hayo leo hii yanajulikana ni UPIMBI tu.
Kuendelea kusisitiza habari za mishipa imewekwa a nani hiyo ni Argumentum Ad Ignorantium
Sasa kama mi ni kiumbe dhaifu huoni hiyo ni error kuonesha hakuna Mungu?Maana yake ni kwamba wewe ni kiumbe dhaifu sana kiasi kwamba hata aliyeweka mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako humjui
Alafu eti unahoji uwepo wa Mungu
Nakushauri kwanza mtafute aliyeweka mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako ukisha mjua ndio utafute uthibisho kuwa Mungu yupo au hayupo
Na kama ufahamu wako ni mdogo kiasi kwamba hata ufanye nin hauwezi kumtambua aliyeweka mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako ambavyo hivyo ndio vinakufanya uendelee kuishi na kushika smart phone na kumtukana Mungu basi ujijue kuwa wewe ni kilaza wa vilaza hapa duniani
Kama ulimuandikia barua ukuumbe ukiwa Efficient ala yeye akashindwa akakuumba ukiwa dhaifu kama hivyo ulivyo ni kweli hiyo ni error ila kama aliamua akuumbe hivyo sio errorSasa kama mi ni kiumbe dhaifu huoni hiyo ni error kuonesha hakuna Mungu?
Kwanza mi sijaumbwa nina wazazi wangu walionizaaKama ulimuandikia barua ukuumbe ukiwa Efficient ala yeye akashindwa akakuumba ukiwa dhaifu kama hivyo ulivyo ni kweli hiyo ni error ila kama aliamua akuumbe hivyo sio error
Lakini pia unawwza ukajipa wewe mwenyewe hiyo Efficient ambayo haukupewa
Unawwza ukathibitisha kuwa shahawa za baba yako zilizofanya wewe uje duniani baba yako alizitengeneza mwenyewe kwa ujuzi wake?Kwanza mi sijaumbwa nina wazazi wangu walionizaa
Tuwekane sawa kwanza hapo
Bado unafanya imagination kwa ku assert vitu ambavyo huwezi kuthibitisha
Argument from ignoranceUnawwza ukathibitisha kuwa shahawa za baba yako zilizofanya wewe uje duniani baba yako alizitengeneza mwenyewe kwa ujuzi wake?
Pia unaweza kuthibitisha yai la mama yako lililotumika kukufanya wewe uje duniani alilitengeneza mama yako mwenyewe kwa ujuzi wake?
We ni mbishi usiye kuwa na facts yaaani umekomalia maswala ya sijui nan katengeneza yai la mama sijui alietengeneza shahawa ya baba lakini huwezi thibitisha alietengeneza hivyo vyote ni Mungu wako. Nowadays madaktari wanaweza kufanya artificial insemination na mtoto akawa katengenezwa maabara aya tuoneshe mungu wako kahusika vipi apo? Lete facts za kuthibitisha uwepo wa Mungu wako acha kubwataUnawwza ukathibitisha kuwa shahawa za baba yako zilizofanya wewe uje duniani baba yako alizitengeneza mwenyewe kwa ujuzi wake?
Pia unaweza kuthibitisha yai la mama yako lililotumika kukufanya wewe uje duniani alilitengeneza mama yako mwenyewe kwa ujuzi wake?
Wewe ndio ignoranceArgument from ignorance
Argumentum Ad IgnorantiumWewe ndio ignorance
Maana nimekuliza ni nani aliyeweka mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako hujui
Na ni nani aliyetengeneza shahawa za baba yako zilizokufanya wewe uje hapa duniani hujui
Hayo yote ni maswali ya mahimu sana kwako maana ndio yanabeba msingi wa wewe kuja duniani na kuishi lakini majibu yake huna yani upo upo hapa duniani
We sema tu labda hayo mambo yalifanywa na kibwengo au Bashite kutoka koromije
Yesu alisema waache wafu wawazike wafu wao
MzikiKipi ambacho naamini?
Wapi nimesema naamini mziki?Mziki
Wapi nimesema naamini mziki?
Bado unataka kutuaminisha kuwa uko serious?
NdioBado unataka kutuaminisha kuwa uko serious?
Kusema "mziki ndio ulianza kabla ya uimbaji"Ndio
Quran 35:11.We ni mbishi usiye kuwa na facts yaaani umekomalia maswala ya sijui nan katengeneza yai la mama sijui alietengeneza shahawa ya baba lakini huwezi thibitisha alietengeneza hivyo vyote ni Mungu wako. Nowadays madaktari wanaweza kufanya artificial insemination na mtoto akawa katengenezwa maabara aya tuoneshe mungu wako kahusika vipi apo? Lete facts za kuthibitisha uwepo wa Mungu wako acha kubwata
Nyinyi vijana sijui mnakwama wapiWe ni mbishi usiye kuwa na facts yaaani umekomalia maswala ya sijui nan katengeneza yai la mama sijui alietengeneza shahawa ya baba lakini huwezi thibitisha alietengeneza hivyo vyote ni Mungu wako. Nowadays madaktari wanaweza kufanya artificial insemination na mtoto akawa katengenezwa maabara aya tuoneshe mungu wako kahusika vipi apo? Lete facts za kuthibitisha uwepo wa Mungu wako acha kubwata
But what I know physical things are proved physically, and spiritual things are proved spiritually, you can't prove spiritual things with physical evidence.Thread zako mbili zote hujathibitisha Mungu yupo
Na hii yatatu lakini mambo ni yale yale
Huo ni zaidi ya ukaidi