Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,948
Una mishipa mingapi ya damu na fahamu katika mwili wako?
Na hiyo idadi utakayoitaja uliamuwa wewe mwenyewe uwe nayo au yupo aliyeamua uwe nayo
Kama uliamuwa wewe mwenyewe weka uthibisho
Na kama sio wewe tuambie ni nani aliyeweka hiyo idadi ya mishipa ya damu na fahamu katika mwili wako weka uthibitisho tumjue
Atajuaje idadi ya mishipa ya damu wakati mishipa ya ubongo tu (neurons) hana!!