Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,378
- 2,394
Leo natoa na salamu.
Kutokea pale nilipoishia.
Kwa mwenyeakili atagundua kuwa huu ulimwengu na vyote vilivyomo, havikujiumba vyenyewe bali kuna alieviumba ndio maana vipo katika mpangilio uliopangika sawa sawa.
Swali nani aliyeuumba na akauweka katika mpangilio huu?
Aliyeumba ulimwengu na kutuumba sisi wanaadamu hakutuacha hivihivi, bali alituma wajumbe(mitume) ambao ndio waliokuja na habari za uwepo wake na kuwa yeye ndiye aliyeuumba huu ulimwengu na vyote vilivyomo.
Hivyo uwepo wa huu ulimwengu na vilivyomo, na mpangilio wake, na uwepo wetu sisi wanaadamu na kukili kwetu kuwa hatujajiumbwa wenyewe, wala kuumba huu ulimwengu, basi hizi zikawa ni ishara za uwepo wa mwenyezimungu kwa wale wenyeakili.
Lakini mitume walikuwa ni wanaadamu na walikuwa wakifahamika na watu wao na pia hawakudai tu kuwa wao ni mitume wa mwenyezimungu, bali walithibitisha utume wao kwa kuonyesha miujiza -mambo ambayo sio ya kawaida-, na pia walikujanayo(vitabu) yalikuwa yanasadikisha wanayoyasema.
Na hii inaafikiana na sababu za kumuamini mtu.
Unaweza kumuamini mtu kwa sababu unamjua vizuri, hivyo unajua hawezi kudanganya katika anayoyasema au utamuamini baada ya kuthibitishia(ushahidi) au baada ya kuyasadikisha yale anayoyasema.
Maana unaweza usimuamini msemaji, na wala usiamini ushahidi alioutoa, lakini baada ya kuyasikia aliyoyasema ukayaona ni yakweli, hivyo ukamsadikisha.
Tukiacha khabari za mitume kwa ujumla wao, katika umma huu, tuna mtume Muhammad -swallallahu allaihi wasallam-, kuna mtu atasema hamjui!!!?
Kwa hakika katika binadamu ambaye historia ya maisha yake ipo exposed ni mtume Muhammad -swallallahu allaihi wasallam-, kuanzia anazaliwa, alivyoishi, kufa kwake, maneno aliyokuwa anayasema, mpaka alivyokuwa akikutana na wakeze, mpaka jinsi alivyokuwa akipiga mswaki!!!
huu ni uwazi ulioje?
Na huu ni mlango ambao upo wazi kwa kila mmoja, huyu ndiye mtume wa mwenyezimungu, na maisha yake yapo wazi, maneno yake yapo wazi(hadiith) na ujumbe aliokuja nao kutoka kwa Allah upo baina ya mikono yetu(Quran).
Lakini wanaompinga huwa hawaoni kuwa kunamazingatio kwenye historia ya maisha yake, kuwa imekamilika, bali wao wanatafuta sehemu wanazoweza kukosoa ili waendelee kupotosha watu na kueneza chuki.
Hivyo asiyemuamini na akampinga basi anampinga kwa kujua, maana anamjua na anayajua aliyokujanayo(Quran).
Vinginevyo atakuwa anampinga kwa ujinga(na huu ni ujinga ulioje)!!!?
Lakini hata kama mtu atawaamini mitume, ni wazi atakuwa na maswali, atajiuliza kwanini mwenyezimungu alituumba? kwanini maisha yapo hivi? mungu yupo wapi? mbona aliweka mfumo huu, na hakujidhihirisha? na maswali kibao kuhusu mwenyezimungu.
Lakini kwa akili ya kawaida tu, utagundua kuwa majibu sahihi ya hayo maswali, yatatoka kwa mtume ambaye yeye ndiye aliyekuja na habari za Mungu, na kwa aliyemuamini ni wajibu kuyaamini, maana ni katika muktadha wa kumuani kwake.
Hivyo muumini atauliza maswali yenye tija,lakini asiyemuamini atauliza maswali ya hovyo, na mbaya zaidi atajijibu mwenyewe, ili kujustify kutokuamini kwake.
Sasa wakana mungu wanajifanya hawana Imani, kisha wamempinga mtume(Muhammad swallallahu allaihi wasallam), na wameipinga Quran, kisha wakasema mungu hayupo, halafu wakamkosoa.
Pia wanamaswali mengi kuhusu mungu, halafu wanajijibu wenyewe!!!
Halafu wanamwambia thibitisha kama mungu yupo!!!?
Nadhani nakaribia kuwafikia.
Sehemu zilizotangulia
Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi
www.jamiiforums.com

Wanaopinga uwepo wa Mungu ni wakaidi - 2
Wanaopinga uwepo wa Mungu, ukiwauliza kuhusu asili ya huu ulimwengu na jinsi ulivyo katika mpangilio ambao hauna dosari ndani yake, watakwambia ni nature au coincidence. Mimi mtu akinambia hivi swali la kwanza linalokuja akilini mwangu, ni je, hiyo nature inaakili(ufahamu)?. Kinacho mpambanua...