Papason unauliza majibu? wewe mtu keshasema "hajui wanaopinga ushoga wanapinga nini"ni dhahiri yeye haupingi ,yumo na anauunga mkono.Kabla sijaanza kukushushia kipondo nataka kujua jee na wewe ni miongoni mwa mashoga au ni mtetezi wao?
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi?
Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa?
Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi?
Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!
Kwa hiyo kinachopingwa ni kuhalalishwa tu, siyo?

Wafiraji, wafirwaji na watetea usenge wote hawatauona ufalme wa milele
Mungu anasema "Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo SANA. Lazima wauawe" (walawi 20:13)
HAO NI WATU WA SHETANI NA WAMEJAA MAPEPO YA KILA AINA". KUWAACHA WATU KAMA HAO NI KAMA KURUHUSU MAPEPO YAWE NA HAKI ZAO.
Soma Vizuri na Uelewe nilichoandika Kwanza, kabla ya kuanza kuandika!