Duh!
Tatizo wanaogopa Ikialalishwa Mtajitokeza Hadharani na soon mtaanza kudai haki ya Kuoa na Kuoana then watoto manze kuadapt.
Hakika Mungu Hapendi.
Kwani unafikiri Mungu hatambui uwepo wa Shetani? Anajua ila ameamua kumuacha ili iwe mtihani kwetu na sio kuwa anashindwa kumtokomeza akiamua ni dakika chache shetani anapotea.
Duh!
Tatizo wanaogopa Ikialalishwa Mtajitokeza Hadharani na soon mtaanza kudai haki ya Kuoa na Kuoana then watoto manze kuadapt.
Hakika Mungu Hapendi.
Kwani unafikiri Mungu hatambui uwepo wa Shetani? Anajua ila ameamua kumuacha ili iwe mtihani kwetu na sio kuwa anashindwa kumtokomeza akiamua ni dakika chache shetani anapotea.
wanachopinga ni kufanya ushoga kuwa halali na kufanya mambo yao dhahiri zaidi kuliko ilivyo sasa , wakadai kwenda kusajili ndoa zao , kulea watoto - kufanya ushoga kuwa ni kitu cha kujivunia na kuwa cha kawaida na cha kimaendeleo - sababu wakina Cameron na Obama wanakisapoti ! Huu ni uchafu si siku cha kawaida lakini ikiwa watafanya kwa kujificha na kuona kua ni kitu cha aibu hiyo juu yao lakini isivuke MIPAKA iliopo sasa
Naomba kueleweshwa vizuri kuhusu watu wanaopinga Ushoga Nchini kwetu, hivi wanapinga nini haswa?
Kwamba Ushoga haupo au vipi? Kwa maana maisha yangu yote tangu niko Mtoto najua kuna Mashoga wengi sana Dar akina Aunt Mudi (Marehemu) kulikuwa mpaka kuna Baa ya Macheni Magomeni, na karibu kila Mtu analijua hilo pamoja na Serikali yenyewe kwamba kwa macheni ilikuwa ni Baa ya Ushoga, sasa tatizo liko wapi hasa? Kwa nini leo hii ishu kubwa? Nimesoma Shule na Watoto wengi tu walikuwa Mashoga na Shule nzima tulikuwa tunajua mpaka Walimu walikuwa wanajua, Sasa kwa nini kelele zote sasa hivi? Tatizo ni liko wapi? Naomba kuelimishwa kwani hili swala linanichanganya Kidogo!
Naunga mkono alielezea, ila nyongeza ni kwamba endapo itahalalishwa, hata kama wewe si shoga ni haki kwa mtu mwingine kukutaka ima akuoe na huwezi kushtaki kwa kukudhalilishwa. Na pia wakihalalisha kutakuwa tena hakuna eti mme amemwingilia mke kinyume na maumbile amemdhalilisha. Hii ni laana Mwenyezimungu atuepushe mbali.
Mungu anasema "Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo SANA. Lazima wauawe" (walawi 20:13)
HAO NI WATU WA SHETANI NA WAMEJAA MAPEPO YA KILA AINA". KUWAACHA WATU KAMA HAO NI KAMA KURUHUSU MAPEPO YAWE NA HAKI ZAO.
Halafu unajiita String theorist, Sidhani hata kama umeielewa string theory labda umependezwa na jina Tu!
Kwa response hii unajionyesha dhahiri ni ama mtetezi wa ushoga au tayari unajihusisha/mdau wa kitendo hiki cha kifedhuri na machukizo mbele za MUNGU.
Usipendelee kuleta nyuzi na namna hii humu jamvini mashoga hawana nafasi.
Hivi wewe kwa akili yako unaona ni sahihi kwa mwanaume mmoja kubong'oa na mwingine kuingiza uume wake kwenye tundu la kutolea mavi la mwingine???
Kama unaona ni sawa na unashindwa kutuelewa wale tunaokemea huu ufirauni basi anza nawe kuwabong'olea wenzako waharibu heshima ya makalio yako.
mimi pia maelezo yake yananitatanisha kweli kama nahisi kale kahalufu,ni kweli atuambie ukweli kwanza .Kabla sijaanza kukushushia kipondo nataka kujua jee na wewe ni miongoni mwa mashoga au ni mtetezi wao?