Wanaopinga Ushoga Ni wanafiki?

Wanaopinga Ushoga Ni wanafiki?

Ushoga lazima ukemewe, na ni sahihi kuwataja ili jamii iwajue na waaibike. kukaa kimya juu ya hili ni sawa na kuunga mkono ushoga. Na anaetetea au kuunga mkono hilo anapractice ushoga pia
 
nakubaliana nawe kwa mtu anaye fanya ushoga kwa influence ya utandawazi, tamaa ya fedha nk. lakini kundi kubwa la hawa watu wako hormonal driven. kumbuka hapo katajwa hata mtumishi wa Mungu.
Mkuu kuna watu ni wachawi lakini bado wanaenda kanisani,kuna watu ni majambazi lakini bado wanaenda kanisani...je itashidikana vipi kwa mtumishi unaemsema wewe kuwa shoga?...kumbuka hili ni agano jipya kwahy kila mtu atahukumiwa cku ya mwisho co kama zamani mtu alikuw anahukumiwa at the spot...ata wewe unaeza ukawa unazini kisiri siri no body knows lakini unaenda kanisan au msikitini (mfano huo lakini)
 
Chichidodo...ndumilakuwili.. using'ate na kupuliza af kuwa na msimamo...et mi sipendi ushoga af tena m siwezi kumchukia shoga...huo ni unaaa...huez chukia jambo af ukampenda anaelifanya
utachukia wangap mkuu ....kama mtu hawaangaiki na space yako kwanini uanzee wachukia ....taja vitu unavyovichukia alafu angalia marafiki zako kama wanakosa hivo vitu?
 
Hili ni swali fikirishi
Iwapo utagundua ndugu yako wa karibu,ni shoga je utaachukua hatua gani?Iwapo utajigundua kuwa wewe mwenyewe ni Homosexual utachukua hatua gani?

Kuna wanaopiga vita ushoga ilhali hawajawahi kuwaona mashoga,kuna ambao wamewahi kuwaona na kuzungumza nao na wanaelewa msingi wa hoja.

Kwa nilichokionawanaopiga vita ushoga kwa ndani wanaunga mkono hii tabia ila hawana ujasiri wa kuitetea mbele ya jamii.ni ndumila kuwili ambao mchana wanapinga na usiku wanaunga mkono.

Sioni sababu ya kuwanyanyasa ndugu zetu hawa huku tukijua kuwa tunafanya unafiki wa wazi

Je Tuwaelewe kabla ya kuwahukumu?

#stophomophobia #noprostitution
Hivi kwanini masuala ya watu binafsi manakua concerned nayo sana?
Yaani mtu afilike yeye, apate raha yeye alafu kero uone wewe?
Hapana jamani. Hii haiingii akilini. Wanaogawa ndogo waacheni waendelee kugawa as long as hawakupunguzii chochote. Tumechoshwa na hizi drama
 
Are you fckn serious!!!! Una mtoto?
 
utachukia wangap mkuu ....kama mtu hawaangaiki na space yako kwanini uanzee wachukia ....taja vitu unavyovichukia alafu angalia marafiki zako kama wanakosa hivo vitu?
Mkuu get to know kwamba cna rafiki shoga...na nikiona rafiki umekaa kisnitch nakuchana af nakupiga chini ufate mbishe zako...sasa wewe kauli ya kusema hupendi ushoga af then huez kumchukia shoga aaah nimekushusha vyeo kabisa...hiyo co kauli kabisa

Kemea jambo unaloliona halifai katika jamii...ukikaa kimya kwa kujifanya et m ctak kujihusisha na hizo mambo ni ufala ata Mungu hapendi kabisa na atakuchoma siku ya hukumu.

Ipo siku utapata mtoto lkn hukumkemea pale alipokwenda kinyume na maadili mwisho wa siku anakuw shoga je utamlaumu nani? Kama sio wewe mwenyew?
 
Ngoja ukute mwanao wanamfira
Hivi kwanini masuala ya watu binafsi manakua concerned nayo sana?
Yaani mtu afilike yeye, apate raha yeye alafu kero uone wewe?
Hapana jamani. Hii haiingii akilini. Wanaogawa ndogo waacheni waendelee kugawa as long as hawakupunguzii chochote. Tumechoshwa na hizi drama
 
Mkuu kuna watu ni wachawi lakini bado wanaenda kanisani,kuna watu ni majambazi lakini bado wanaenda kanisani...je itashidikana vipi kwa mtumishi unaemsema wewe kuwa shoga?...kumbuka hili ni agano jipya kwahy kila mtu atahukumiwa cku ya mwisho co kama zamani mtu alikuw anahukumiwa at the spot...ata wewe unaeza ukawa unazini kisiri siri no body knows lakini unaenda kanisan au msikitini (mfano huo lakini)
Mkuu tunachosema hapa ni kwamba epushia mbali asijetokea mtu ambaye ni hormonal driven homosexual. Utakumbuka nilichoandika hapa. Nimewahi muona mmoja kilwa hata sauti kama demu na most of time yuko na wadada
 
Hivi kwanini masuala ya watu binafsi manakua concerned nayo sana?
Yaani mtu afilike yeye, apate raha yeye alafu kero uone wewe?
Hapana jamani. Hii haiingii akilini. Wanaogawa ndogo waacheni waendelee kugawa as long as hawakupunguzii chochote. Tumechoshwa na hizi drama
Hizi ni karata wanasiasa wanazitumia. Wanajua ukionekana una msimamo mkali kuhusu mashoga mambumbumbu watakushangilia na kukubali sana. ila kiukweli kufuatilia mashoga ni kufuatilia upepo na kuingilia haki za binadamu.
 
Mashoga wengi watajitokeza zama hizi kutetea kufirwa kwao
 
Mkuu mi cjakataa hilo ila kuumbwa hivyo co ndo uwe shoga...ata akienda kwa Mungu akamwambia nilikuw humosexual basi nikaamua kuwa shoga asee moto unakuwa trippled
Mkuu tunachosema hapa ni kwamba epushia mbali asijetokea mtu ambaye ni hormonal driven homosexual. Utakumbuka nilichoandika hapa. Nimewahi muona mmoja kilwa hata sauti kama demu na most of time yuko na wadada
 
Pamoja na yote haya hakuna matokeo yoyote mazuri yatapatikana
Ushoga sio wa leo wala jana una enzi zake
Labda kama mnawataja na kuwapeleka makanisani tena ya kiroho ndio mtawasalimisha mbali na hapo mtajwa na mtajaji wote walewale
 
Hili ni swali fikirishi
Iwapo utagundua ndugu yako wa karibu,ni shoga je utaachukua hatua gani?Iwapo utajigundua kuwa wewe mwenyewe ni Homosexual utachukua hatua gani?

Kuna wanaopiga vita ushoga ilhali hawajawahi kuwaona mashoga,kuna ambao wamewahi kuwaona na kuzungumza nao na wanaelewa msingi wa hoja.

Kwa nilichokionawanaopiga vita ushoga kwa ndani wanaunga mkono hii tabia ila hawana ujasiri wa kuitetea mbele ya jamii.ni ndumila kuwili ambao mchana wanapinga na usiku wanaunga mkono.

Sioni sababu ya kuwanyanyasa ndugu zetu hawa huku tukijua kuwa tunafanya unafiki wa wazi

Je Tuwaelewe kabla ya kuwahukumu?

#stophomophobia #noprostitution
sasa wewe ndio umenena jambo la msingi kabisa
 
Mimi sipingi ushoga maana kila MTU anamaamuzi yake ili mradi hasababishi madhara kwa mtu mwengine.. Ila kinachoniudhi ni mashoga kutangaza huo mchezo kiasi kitawaharibu kizazi kijacho.. Fanya ushoga wako mafichoni. Kupambana na ushoga haitowezekana kamwe.. Kama miaka 5000 bado upo ndo tutaweza leo
 
Uhuru wa mawazo,, hata kama yupo negative,,
freedom of thought think twice senor. These people deteriorate our generation imagine having gays and lesbians in your town.
 
Kosa lao kubwa la watu wa Sodoma na Gomora ni kuwazingira malaika na kutaka kuwafanyia huo mchezo wakijua kuwa wale ni wanawali. Kitendo kile kiliwaudhi wao kwanza na kuwapofusha macho wote muda ule ule wote waliokua wamewazingira.

Huo mchezo mchafu kwao ulikua umegeuka kuwa ni kama ibada . Hakuna dhambi ndogo.
Kuuana ,uongo ,dhulma,woga, na kupenda madaraka sana ni dhambi kubwa na hua Mungu anatoa adhabu japo Mungu haleti Moto badala yake anawachilia Roho ya vita munauana sana mpaka mfikie Toba. Angalia Kongo,Sudan, Somalia, Libya, Iraq, Burundi ,Rwanda n.k.Kwa hiyo kama Taifa tusijidanganye kuwa eti Ushoga ndiyo dhambi kubwa kuliko zote lahasha . Ni kwa sababu tu Mungu anaingilia kati dhambi hiyo inapofanyika na kuleta majanga kama adhabu kwa dhambi hiyo mana ni dhambi ya makubaliano haina visasi kati ya binadamu na binadamu kama malipizi. Kwa maana kwamba Mungu asipoingilia itaenea sana na kuharibu uumbaji wa asili wa Mungu na agizo lake la mwaname kuoa mwanamke.

And you bado mnatetea. Well biblia naijua hebu soma vizuri hao malaika walipokuwa na Ibrahim walimwambiaje kuhusu sodoma.
 
Mimi nadhani jambo la kujiuliza au kulijadili ni kwamba;

Je tutumie njia gani kumaliza hili tatizo la ushoga?

Hii vita dhidi ya ushoga iendeshwe kwa njia zipi?

Hawa watuhumiwa wa ushoga wakibainika kua ni kweli wao ni mashoga hukumu yao iwe nini?

Je baada ya hiyo hukumu itasaidia kumaliza hili tatizo la ushoga katika jamii?
 
Back
Top Bottom