aliyemfuata mwenzie kwao kwa ngoma na maturembeta nani? Basi ndo ajue kumtunza ni wajibu wake...
Wanaume wa digital acheni kukimbia majukumu....baba ndo kichwa cha familia....!
hahahahahahaha
pointless kumbe wewe waumia mtu akijenga kwao? we sio mzima kabisaaa.. kwa hyo ukiwa na binti hutaki akujengee kisa kaolewa?
wa form 4 na la saba wanapigwa matarumbeta kila wiki jijini,sahau wenye degree hahaha
Aliyemfuata mwenzie kwao kwa ngoma na maturembeta nani? Basi ndo ajue kumtunza ni wajibu wake...
Wanaume wa digital acheni kukimbia majukumu....baba ndo kichwa cha familia....!
mwanamke atawaacha wazazi wake na tazama sio wawili bali wamekuwa mwili mmoja
hayo ndio maandiko au uko kinyume na maandiko ?
pointless kumbe wewe waumia mtu akijenga kwao? we sio mzima kabisaaa.. kwa hyo ukiwa na binti hutaki akujengee kisa kaolewa?
ndo size ya kuwaoa wanawake wa degree na kueendelea,mwanaume kilaza ndo mme wa wa mwanmke mwenye degree na kuendelea,pwaahna wanaume wanaopenda kulalamika wengi wanatabia za kike na wanaliwa kiboga ka mizoga...wanawake wasomi wanajitambue hawaendekezi ufala tena wanatunza familia bila kuteteleka
Izo ni fununu
kama ninachopanga hataki tufanyaje?
naoa 4m4 kisha anakaa nyumbani na mahitaji yake yote nitatimiza sio asubuhi tuamke wote mwisho wa mwezi maumivu kwa mmoja hiyo no big NO
wa form 4 na la saba wanapigwa matarumbeta kila wiki jijini,sahau wenye degree hahaha
ila za ukweli