Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
basi umeshinda mama tusifike mbali tukafungiwa uzi buree na mods maana hata mimi nina maneno machafu kupitiliza, kila mtu aamini anachoamini
Acheni dharau...ninachokijua kila muoaji ana sifa zake kwa mtu amtakae!!labda hiyo ni choice yako viol..hongera
Hayo maneno maneno yako ya ku conculude bila research na kukirupuka kujiona una maneno ka chuchungi na mdomo mrefu uache ku generalize mambo bila kuwa na tafiti sijui wakibanjuliwa huwa unawashika miguu acha wavitumie si vyao wewe unaumia nini sasa pili pili ysiyoila ya kuwashia nini sasa
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .
Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.
Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
nashukuru,utanitaka ukiongezewa majukumu na kuachwa
hee jaman bado uko namm tu, c nmesema yaishe, ww niache mie niamin nachoamin kuwa asilimia kubwa wny degree ni majeur, wanajifanya wanajua na pia washabakuliwa papuchi zimetumika saaana na weng sio wife material, mimi niache niamin hvyo naww amini unachoamin,

Hiyo ni according to you bwana mkubwa, we utataka kuoa ambae hajasoma..mwingine atataka kuoa msomi mwenzake maana hata ndan wataelewana hakutokuwa na dharau...don't tell me we una masters unamuoa standard seven..humo ndan mtapiga story gani??? Zaidi yeye atajihis inferior ukiwa hata na rafik zako mnapiga story zenu za kisomi..tena ukipiga ki ingrishi kidogo akukodolee macho mwishowe ahisi unamsema kisa nini??? Na wanaooa standard seven mi naonaga huwa wanaishia kuwasimanga na kuwatukana tu ikitokea kupishana kauli..so usiwadanganye kaka zetu humu wakaenda sigimbi mwishowe wakaambulia majuto..kila m2 na choice yako so usivutie upande wako maana hayo ni maoni yako don't try to convice us.
mkuu kama mwanamke kama huyo unamfungia ndani ni shida hata ubingwa wa kutukana umempa ila anabisha tu.
wanawake wengi wenye degree sio wife material ni mchepuko material full stop hapa wanabishana kwa matusi kumbe wanazidi kujishushia heshima
shenzyyy kabisa
Hiyo ni according to you bwana mkubwa, we utataka kuoa ambae hajasoma..mwingine atataka kuoa msomi mwenzake maana hata ndan wataelewana hakutokuwa na dharau...don't tell me we una masters unamuoa standard seven..humo ndan mtapiga story gani??? Zaidi yeye atajihis inferior ukiwa hata na rafik zako mnapiga story zenu za kisomi..tena ukipiga ki ingrishi kidogo akukodolee macho mwishowe ahisi unamsema kisa nini??? Na wanaooa standard seven mi naonaga huwa wanaishia kuwasimanga na kuwatukana tu ikitokea kupishana kauli..so usiwadanganye kaka zetu humu wakaenda sigimbi mwishowe wakaambulia majuto..kila m2 na choice yako so usivutie upande wako maana hayo ni maoni yako don't try to convice us.
hee jaman bado uko namm tu, c nmesema yaishe, ww niache mie niamin nachoamin kuwa asilimia kubwa wny degree ni majeur, wanajifanya wanajua na pia washabakuliwa papuchi zimetumika saaana na weng sio wife material, mimi niache niamin hvyo naww amini unachoamin,
labda,au shukuru Mungu
Hii thread imekosa sifa ya kuchangiwa na mimi!!
Ha ha ha ha ha ha teh teh endelea kuamini hivo hivo na wao waendelewe kubakuliwa maana hawaja kunyima oksijeni kwahyo waache
Hii thread imekosa sifa ya kuchangiwa na mimi!!
sawa nashukuru kwa statement yako ya kukubaliana namm kuwa wengi huwa washabakuliwa sana, pia nitawaacha waendelee kubakuliwa maana ni kweli hawanipunguzii oksijen
Siwezi kukubaliana na statement yako ya ku force vitu kwa kuendeshwa na hisia za kimawazo mgango