Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

nami niko nawe mkuu mke ni lasaba au form 4, hawa wanaotaka hak sawa ni michepuko tu kutolea genye na kupiga chin
la saba na form 4 wanajua ku-care waume zao,ila hawa wa haki sawa mpaka wanapitiliza,hebu mtongoze aliyeishia la saba au form swali la kwanza atakuuliza "unataka kunichezea au utanioa''?,ila hawa wa degree mtamegana sana ila mtu wake asijue,hawaoni hata aibu leo umelala naye kesho anakatiza mwingine
 
nami niko nawe mkuu mke ni lasaba au form 4, hawa wanaotaka hak sawa ni michepuko tu kutolea genye na kupiga chin

Huo ni uoga wako tu jipange kwanza mwenye degree utampatia wapi saizi yako ni division five tu wenye degree level nyingne kama ilivo mafuta na maji hayachangamani
 
Hii debate haitaisha kama unamuamini Mungu atakupa mke mwema. Kuna tofauti kati mke na mwanamke unaiye ishi nae. Ukijua nini maana ya mke na familia na ukiwa unamwamini Mungu hakuna kitakachokusumbua hata kama mwanamke ana PhD! Nachokiona hapa ni wanaume hawajiamini kabisa na hii ni mbaya kwa jamii na taifa kwa ujumla. Hakuna gharama kubwa sana kama ujinga na ili tupige hatua kama taifa inabidi tuufute huu ujinga. Sasa tunajiuliza kwa nini sisi ni maskini na hatuendelei wkt tumegoma kuelimika. Mimi kwa umri wangu naweza kumuangalia mtoto anavyobehave nikakuambia level ya elimu ya mama ake. Yaani mama ni kiungo kikubwa sana kwa malezi ya mtoto sasa ukute mama mjinga watoto ni balaa
 
in addition wenye degree papuchi zao zimeshatumika sana toka yuko form 1 had form 6, hlf ss akiwa chuo pale ndo huwa wanagawa kama sadaka lawe, bora uoe form 4 yeye utakuta wala hajabakuliwa sana
 
sina kizuizi chochote na hoja yako mkuu.
 
kitandani ataropoka mpaka kusema "mama yangu mchawi'' ila ngoja adanganywe huko nje uone kibembe.
 
Huo ni uoga wako tu jipange kwanza mwenye degree utampatia wapi saizi yako ni division five tu wenye degree level nyingne kama ilivo mafuta na maji hayachangamani

nijipange nanini tena maana hapa nilipo tayari niko sawa, sasa yanini nioe lijanamke limetoka chuo huko lilikuwa linagawa papuchi kama sadaka lawe bora niweke kwa form 4 unakuta papuchi bado iko vizur sio used saaaaaaana
 
hivi flora mbasha ana elimu gani
 
Maofisi mengi hapa dar bosi mkewe ni mama wa ndani
watu wanataka matunzo wewe kila muda una stress za kazi tu
mumeo utamuhudumia saa ngapi ??
 
kitandani ataropoka mpaka kusema "mama yangu mchawi'' ila ngoja adanganywe huko nje uone kibembe.

Hahahahahahaha duh!!!!

Ngoja nikapate ugali kwanza nije niwasome wasomi.
 
nijipange nanini tena maana hapa nilipo tayari niko sawa, sasa yanini nioe lijanamke limetoka chuo huko lilikuwa linagawa papuchi kama sadaka lawe bora niweke kwa form 4 unakuta papuchi bado iko vizur sio used saaaaaaana

Jipe matumaini tu kuna standard seveni ksolewa tena ndo ama gawa kwa kila.mtu na ukichangia shule hna elimu si.ujinga la sivo isingekuwepo kugawa ni tabia ya mtu tu hapo haijalishi ni la saba au nani tatizo wanaume wengi waoga.na hamtaki challenge unamuoa mwenye elimu ndogo ili imu dominate kwa vile hailewi chochote acheni kujaribu ujinga shule zisingekuwepo hampendi tu challenge mwenyewe siwezi kumkubali mwanaume asiye na shule maana atakosa maarifa na hekima ya maamuzi sahihi
 
Umeona ee? Hawa waoga tu
 
Mkuu kwa IFRS hatuna tena long term liability bali tuna NON CURRENT LAIBILITY.

shukran kwa rekebisho toka kwny international financial reporting standards, nafaham mkuu ila niliweka hvo kutia utam tu, bila shaka ww ni my fellow cpa holder
 
bila shaka nimekutach kwny kugawa kama sadaka lawe, wanawake vyuon wanabakuliwa huwez kulinganisha ni dem alomaliz form 4 na degree kwny swala la kubakuliwa, usijitee hata ww mwnyw unajijua ulivokuw chuo
 
shukran kwa rekebisho toka kwny international financial reporting standards, nafaham mkuu ila niliweka hvo kutia utam tu, bila shaka ww ni my fellow cpa holder

Ndiyo mkuu, ila mimi kidogo nipo katika lile kundi la ACPA.
 
Std seven ana hofu ya kuachwa tofauti na degree
 
bila shaka nimekutach kwny kugawa kama sadaka lawe, wanawake vyuon wanabakuliwa huwez kulinganisha ni dem alomaliz form 4 na degree kwny swala la kubakuliwa, usijitee hata ww mwnyw unajijua ulivokuw chuo

tatizo kubwa wakiwa mitandaoni wanaigiza sana wanasahau uhalisia
hivyo wanatukana tukana huko chuo wanaliwa kishenzi mpaka wanakuwa na degree za chupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…