Wanaonata baada ya kupata pesa

~Tafuta hela kijana acha kulalamika,mwenye pesa sio mwenzio kama ulitaka yeye ndio aanze kukusalimia imekula kwako,kama kakuzidi pesa mpe heshima yake ndio maisha yanavyoenda,mtumikie kafiri upate mtaji wako usepe ukishindana nae utaumia,watu wenye pesa wengi wao wanapenda kunyenyekewa,ukiwa kiburi utakula jeuri yako.
 

mfano ni Diamond platinum
 
king mwenye hela bwana c mwenzako. Huoni walivyokudhulum viwanja kigambon hao mafisad. Ukaamua kusepa minjingu kwenda kuchoma mkaa
 
Ni kwa sababu ya umaskin wa wengi bongo hata ukipata milion 5 za mkopo show of ni kubwa hadi watu wanajishutukizia nakudai unaringa. Wengi ni chenji tu halaf haina guarantee
 
Boss hanuniwi, yeyote akipata pesa lazima abadilike haijalishi historia yake iko.
 
Kuna jamaa alishinda bahati nasibu uingereza paundi milion 16 mwaka wa 2004. Akawa anagawa hela hovyo kwa marafiki ili awafurahishe. Wengine hadi aliwanunulia ferari nåkuwapeleka vacation visiwa vya Maldives. Sasa iv hoi anapumulia tigo. Hana hata centi anaishi kwenye nyumba ya council. Marafik aliyewafurahisha wamemkana na kibaya wanamcheka. Alipohojiwa nå gazet la daily mail ikitokea ashinde Tena bahati nasibu akajibu ataenda mbali Australia nå kujichimbia huko nå kamwe hatamuamin mtu kwenye hela nå atakuwa katil.
 
Kapata pesa?
Na wewe piga kazi upate pesa zaidi yake.!
 
Tatizo lenu wabongo mnapiga sana mizinga ndio maana mabillionea tunawachuniaga tu........ tukiwa kwenye magari yetu tunafunga vioo mpaka juu.....na tukiwa kitaa ni miwani ya tinted......
 
Kweli mkuu wabongo noma sana.....wakati una taabika wanakuona kama mavi tu.....Mambo yakikaa sawa utawaona wanajisogeza na kujifanya wanakujua na kukuzoea kwa sana........kumbe SNITCH
 
Tatizo lenu wabongo mnapiga sana mizinga ndio maana mabillionea tunawachuniaga tu........ tukiwa kwenye magari yetu tunafunga vioo mpaka juu.....na tukiwa kitaa ni miwani ya tinted......
nimeipenda hii. Yan cc wabongo kwa mizinga tu
 

Shikamoo
 
king mwenye hela bwana c mwenzako. Huoni walivyokudhulum viwanja kigambon hao mafisad. Ukaamua kusepa minjingu kwenda kuchoma mkaa

Nimeamua kukaa porini kuchoma mkaa na kutafuta Mihogo tu ili nitoke,wenye pesa wana nguvu lazima tukubali.
 
Kweli mkuu wabongo noma sana.....wakati una taabika wanakuona kama mavi tu.....Mambo yakikaa sawa utawaona wanajisogeza na kujifanya wanakujua na kukuzoea kwa sana........kumbe SNITCH

Mtoa mada atakuwa kanyimwa hela tu,we unadhani hao matajiri fedha zao hazina mipango? Angekuwa mtoa wa kutoatoa tu asingepata hizo pesa.
 
Wakati mwingine mnawasingizia tu wenye fedha. Mtu ukipata fedha lazima ubize uongezeke maana pesa inakutuma. Sasa wewe unataka tuje tukae kijiweni kama nlivyokuwa sina activities? Haiwezekani.
 
Hivi kunata ama kuring kunapimwaje? Manake unajua lazima mtu awe anabadilika kila wakati kulingana na maisha aliyonayo. Kwa sasa unaweza kusahau watu ama vitu (kama kurudisha missed calls etc) kutokana na kuzongwa na mambo na msongo wa mawazo utokanao na majukumu. Lakini unaweza usimuone mtu njiani kwa sababu pia unawaza mbali. Kama zamani nilikuwa na nafasi ya kusoma novel yenye kurasa 600+ kwa siku mbili tu, sasa kitabu cha kurasa 300 nasoma miezi sita. Sio kwa starehe, ila shida zimenizonga. Nitakuwa nanatia kitabu (ni mfano tu).

Wakati unasoma chuo uko idle ni rahisi kwenda kwa mjomba kila wikiendi. Sasa una kazi, unafuga kuku mpiji magohe na unalima mananasi kiwangwa (ili uchangie matibabu na harusi za mtoto wa huyo huyo mjomba, na kadhalika zote na ulipe ada za wanao na kununua gari zuri). Usipoenda kila wikiendi kumsalimia unanata ama ni majukumu yamekuzonga na ukisikia mjomba anaumwa unaenda kumsalimia walau kwa nusu saa na kumuachia posho kidogo?

Uswahili huwa unachosha sana aisee, daah

Cc snowhite, nimekumiss na sio kama nanata jamani. Nimezongwaaaaaa!:israel::israel:
 
Last edited by a moderator:

Hii nimeipenda+imenipa somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…