Wanaomtukana Samia kupitia Polepole wakamatwe

Equitable

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
2,124
Reaction score
5,697
Kuna watu wanasema eti Polepole alizuia demokrasia mara ooh alikandamiza wapinzani eti aliunga mkono watekaji
Sasa Polepole alikuwa nani serikalini? Si yeye alikuwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama tu tena chini ya
1. Mwenyekiti
2. Makamu mwenyekiti bara
3. Makamu m/kiti Zanzibar
4. Katibu mkuu
6. Yeye

Serikalimi alikuwepo
1. Rais
2. Makamu wa rais ambaye sasa ndo rais
3. Spika wa bunge.
4.Jaji mkuu

Sasa unapomtuhumu Polepole si unamtukana rais moja kwa moja maana yeye ndo alikuwa namba mbili kwenye maamuzi?

Kumbe Majaliwa naye akiondoka huko kwenu mtaanza kumsema alikuwa mtekaji?
 
Kuna watu wanasema eti Polepole alizuia demokrasia mara ooh alikandamiza wapinzani eti aliunga mkono watekaji
Sasa Polepole alikuwa nani serikalini? Si yeye alikuwa katibu wa itikadi na uenezi wa chama tu tena chini ya
1. Mwenyekiti
2. Makamu mwenyekiti bara
3. Makamu m/kiti Zanz
4. Katibu mkuu
6 .yeye

Back
Top Bottom