Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338

Chanzo:Nipashe
==============================


MAELEZO TOKA KWA WADAU.

REA kusambaza nguzo nchi nzima ni mpango ulioanza mwaka 2007 na chanzo cha mapato yake ni sh.100 katika kila lita ya mafuta pia kuna NCHI WAHISANI wanachangia.

 

Attachments

  • Muhongo.png
    67.3 KB · Views: 2,099
Bora sasa mengi amejitokeza na muhongo waziwazi alikuwa anatumia watu sasa ameona muhongo anapendwa na watu amejitokeza mzimamzima kupambana na muhongo kupitia magazeti yake na tv mengi mjinga sana

Ametumia akina mbowe,mbatia,kafulila,zitto,deo filikunjombe haikuzaa matunda sasa kaingia mwenyewe mzee anabalaa huyu fisadi la mafisadi.
 
1) Hivi dalali hua hapati pesa, mbona yeye hajatajwa?
2) Mnashangaa kwa nini deni limeongezeka, mbona hamshangai kusambaa kwa nguzo nchi nzima au mlijua anatoa pesa mfukoni kwake?
 
Salama wakuu!

Tusaidieni watetezi wa Prof huyu, kwa kujibu maswali haya.
Mkuu nenda kamwambie mnowe pamoja na pesa zake wengine hawahongeki mwambie tumechoka kuibiwa na mafisadi kama yeye alizoiba inatosha,

Lakini pia mwambie Nipashe pekee haitoshi atumie magazeti yake yote pamoja na tv japo nao zitagota tu.
 

Acha makelele wewe, jibu maswali.
 
1) Hivi dalali hua hapati pesa, mbona yeye hajatajwa?
2) Mnashangaa kwa nini deni limeongezeka, mbona hamshangai kusambaa kwa nguzo nchi nzima au mlijua anatoa pesa mfukoni kwake?
Kuongeza kwa deni ni pamoja na kwenye uwekeza muhongo katumia pesa nyingi sana kuwekeza na kusambaza umeme vijijini,uwekezaji pia unalenga kuifanya tanesco initegemee kitu amabacho mafisadi hawataki badala yake wanataka iendelee kuwa hoi ili waendelee kununua umeme wa dharula.
 
3) Umeme unakatika kwa sababu ya matengenezo, si kwamba hakuna maji. pia huwa mnatangaziwa. mmesahau itv mlikua mnafunga kituo chenu kwa kua mlikua hamna pesa ya mafuta ya generator? tuache fitina na chuki zisizo na msingi bhanaa!!!
 
Televisheni ya mengi iliwahi kushindwa kufanya kazi kwa kukosa mafuta ya generator eti leo umeme upo kila siku wanaanza chuki na muhongo kisa tu mzee wao mengi ameahindwa kupewa kitaru cha gesi kwa upendeleo kama alivyotaka yeye,

kiukweli muhongo anachukiwa kwa kubana mafisadi pale tanesco akiwepo mengi na mkono,komaa nao prof tupo pamoja nawe.
 
Muhongo angekuwa mchaga ITV AU GAZETI LA NIPASHE Lisingetangaza yote hayo.
Angalieni kashfa za wachaga kama huwa zinatangazwa au kuandikwa na vyombo vya IPPMEDIA.

Anyway kuhusu kuongezeka deni la Tanesco muhongo anahusikaje? TANESCO ni taasisi inayojitegemea yenye maamuzi yake na yenye mipango yake ya maendeleo.Ni shirika lenye bodi yake yenye uwezo wa kuingia mikataba ikiwemo ya kukopa au kuingia ubia na IPTL na kufungua Akaunti za ESCROW na kadhalika.

Hivi Muhongo ni mfanyakazi wa TANESCO mpaka eti bunge maruhuni lipendekeze ajiuzulu? Hayo sijui mamikataba ya IPTL na TANESCO yalisainiwa na MUHONGO au aliyakuta yapo tayari?
 
Umeuliza maswali mazuri sana.Hongera.
Tatizo langu na Mhongo ni kudanganya kuwa hela sio za umma ilhali ni za umma.
Hata shilingi mia moja ya umma inatakiwa kutambulika na kuheshimiwa.
1) Hivi dalali hua hapati pesa, mbona yeye hajatajwa?
2) Mnashangaa kwa nini deni limeongezeka, mbona hamshangai kusambaa kwa nguzo nchi nzima au mlijua anatoa pesa mfukoni kwake?
 

Pointless.
 

Vijiji gani webpweza? Mbona vijiji vyetu watu wanatumia solar . Embu toeni ulafa wenu hapa. Hii pesa najua ni nyingi sana mliyoiiba na ndio maana mmeshapeana mgao huko mmekuja hapa JF
 
uoni kwenye nipashe, na jibu kisomi sio kishankupe na kishangingi tuu.
Vibaraka siwataki aje fisadi mengi mwenyewe nipe vyake hapa nyie wajinga wakupewa elfu kumi tu mnakuja kubadika migazeti ya mengi sinashida na nyie nataka fisadi mwenyewe aje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…