|
Jumla ya shilingi milioni 56 ikiwa ni ahadi na pesa taslimu zilipatikana kwenye changizo la madawati lililofanyika mnamo mwezi wa nne 2012 ambapo pesa cash iliyopatikana ni shilingi milioni 24 ahadi ambayo haijalipwa mpaka sasa ni shilingi milioni 32. Kujua wanaodaiwa na viwango vya madeni yao kwa ahadi za madawati bofya play ... |
|
Karibu na robo ya mwisho wakati Mnyika akielekea kuanza kuhutubia joto la timbwili timbwili la vurugu likatokea mara baada ya watu kadhaa waliosadikika kuwa walikuwa wametumwa na maadui wa Wenje ambao wamo ndani ya chama hicho kufanya vurugu kwenye mkutano huo kwa kurusha mawe kwenye kusanyiko hali ambayo ilisababisha baadhi ya waungwana kusambaratika wakihofia usalama wao. |
|
Mdau akitweta mara baada mvua ya makonde kumwangukia.. |
|
"Hapa ndipo angalau kuna usalama.." mwananchi akiwa na majeraha yake... |
|
Mbunge wa jimbo la Nyamagana jijini Mwanza Ezekiel Wenje akitoa maelekezo juu ya madawati hayo ambayo yametengenezwa kwa mtindo kuwa kila moja linauwezo wa kuketisha wanafunzi watatu. Orodha ya shule zitakazo nufaika na mpango huo ni pamoja na Shule ya Lake A na B, Shule ya msingi Nyashana A, B, na C, Shule ya msingi Nyakabungo B, Mabatini A, B na C, Shule ya msingi Nyerere, Shule ya msingi Mandela, Ngwandu A, B, C na D, Nyagulugulu, Nyakato, Mahina, Mtakuja, Pamba, Hongera na nyingine ndani ya wilaya hiyo.... |
hakuna porojo ni kazi tuu.
Msimwage damu jama
Huyu Wenje 2015 harudi.Amejisahau sana wacha wananchi wamwonyeshe kabla hata ya huo mwaka
Huyu Wenje 2015 harudi.Amejisahau sana wacha wananchi wamwonyeshe kabla hata ya huo mwaka
Chama cha wauaji hakika pure freemason kazi ya masonoic ni kama hii ya chadema mimi nimekua mwanza chadema mwanza wanachedema wengi wameasi hasa wakurwa na wamehamia ADC kuna mtaa mmoja mwanza chadema wote wamehamia huko

nyie magamba wajanja sana yaani mnatumana mkalete vurugu,halafu mnasema hiki chama kina fujo. Aisee ccm ni zaidi na uijuavyo!Yeaah hichi chama kipo tayari ata kuuwa ili wapate madaraka tu
Huyu Wenje 2015 harudi.Amejisahau sana wacha wananchi wamwonyeshe kabla hata ya huo mwaka