Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,781
- 4,118
Ngoja jahazi lisonge tu, likizama tutagawana mbao kila mtu afe na chake.Kwa siasa zetu hapo bongo tunatatizo la Demokrasia ya kweli, baada ya uchuguzi tunashindwa kurudisha nguvu na fikra zetu kwenye maendeleo.
Nahisi JPM anajifunza kutokana na J.K,
J.K alikuwa anazungumza nao kwa upendo na heshima, lakini wapinzani hakuna neno au jina baya waliloacha kumwita, nadhani sasa hivi tunamkumbuka J.K