utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
hawajitambui, kasi ya magu imewachanganya
Na siyo kila jambo analofanya Rais ni la kuunga mkono mkuu.Hapana kuchagua na kuchaguliwa ni haki wa kila Mtanzania, Tatizo linakuja baada ya kupata Kiongozi wa nchi inabidi tupinge na kukosea pale panapo staili sio kila jambo kupinga tu eti sababu hujampigia kura.
Asipingwe ye ni Mungu?? Tumuogope ana mapembe??? Bungeni alikuwa akikaa seat za mashariki bungeni aogopwe ye nani???
WEWE NI DOVINKISUUwewe Mankusuuuu
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.
Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.
Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.
WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
Wapiga dili na watu walozoea kuishi kwa ujanja ujanja ndio wapiga kelele wakubwa.
Kweli kabisa wanaweza kuwa na dhamira njema kwenye nchi yetu, ila kinachotia shaka kila jambo kupinga nadhani hapo ndiyo nia yao njema inapokosa mashiko. vizuri wawe wanakosoa kwenye matatizo kwa nia njema kabisa ya nchi yetu.Wachunguzwe kweli maana huenda wanaona mbali zaidi na wana akili za ziada.
Wakitumiwa vizuri watalinusuru taifa.
Mkuu kweli kabisa lazima tuwe tunakosoa tunapoona mambo au vitendo sio sahihi vinavyofanywa. lakini sio kila jambo tunakuwa watu wa kukosoa bila kutambua kama baya au zuriNa siyo kila jambo analofanya Rais ni la kuunga mkono mkuu.
Mara nyingi ni vizur kujifunxa toka kwa mshindani wako.Kweli kabisa wanaweza kuwa na dhamira njema kwenye nchi yetu, ila kinachotia shaka kila jambo kupinga nadhani hapo ndiyo nia yao njema inapokosa mashiko. vizuri wawe wanakosoa kwenye matatizo kwa nia njema kabisa ya nchi yetu.
mfano mimi nampinga kwa michango yetu ya maafa kageraInabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.
Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.
Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.
WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
kwahiyo unasema sizonje ni kichwa maji?Kwa Tanzania ilipokuwa imefikia, ilikuwa anahitaji raisi kichwa maji ambaye anaendesha mambo kama dikteta hadi baada ya kuweka mambo sawa. Tulikuwa tumefikia pabaya jamani. Nchi ilikuwa chini ya madalali kila mahali. Magufuli anainyoosha kwanza na mambo mengine baadaye!!
Mara nyingi ni vizur kujifunxa toka kwa mshindani wako.
Unachukua yale unayoona yanafaa na kuacha yale unayoona hayapo sawa.
Mheshimiwa aliiba M4C ila hawezi iba mipango yote ya wapinzani na hata akiiba hawez kuitendea haki kama ilivyopangwa.
Kuna vitu vingi sana Rais amevinfanya kutokana na hoja za wapinzani na wananchi tofauti, sio rahisi kila kitu afanye kwa usahihi bila kasoro, kwahiyo kila penye kasoro vizuri akaambiwa kwa nia njema tu, tena kwa maslahi ya nchi.Mara nyingi ni vizur kujifunxa toka kwa mshindani wako.
Unachukua yale unayoona yanafaa na kuacha yale unayoona hayapo sawa.
Mheshimiwa aliiba M4C ila hawezi iba mipango yote ya wapinzani na hata akiiba hawez kuitendea haki kama ilivyopangwa.
Kuyumba kwa uchumi kunatokana na mambo mengi sana,Uchumi unayumba mnasingizia wapiga dili! Mficha maradhi mauti humuumbua!
Je, yupo tayari kushauriwa au neno lake ni sheria?Kuna vitu vingi sana Rais amevinfanya kutokana na hoja za wapinzani na wananchi tofauti, sio rahisi kila kitu afanye kwa usahihi bila kasoro, kwahiyo kila penye kasoro vizuri akaambiwa kwa nia njema tu, tena kwa maslahi ya nchi.
Napenda kuona wapinzani na wananchi wanakuwa na hoja zenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya nchi yetu,
Je, yupo tayari kushauriwa au neno lake ni sheria?
Ukishawachukulia wapinzani kama maadui huwezi fanya lolote likaonekana jema.
Nakumbuka J.K alikuwa anakutana na wapinzani wanazungumza ila huyu wa sasa ye hajaribiwi, hataki hata maalim akatibiwe kwa fedha za serikali. Huyo Sitta walongharamia yupo wali saivi?
Uzima unatoka kwa Mungu na si kwa fedha.
Ama kweli watu tunatofautiana, jamaa anaonaona hali ni nzuri, hadi wabunge walikiri hali ni ngumu.Uchumi ndio kero kuu! Unatakiwa kuwa WA kwanza kupimwa.