Wanaompinga Rais Magufuli wachunguzwe

Wanaompinga Rais Magufuli wachunguzwe

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
386
Reaction score
265
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.

Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.

Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.

WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
 
Anapongezwa kwa mazuri na kupigwa kwa maonmvu anayoyafanya...
 
  • Thanks
Reactions: bne
Kaanze kuwachunguza kwanza Mwinyi, "Nchi inaenda kama gari bovu haina sukani" Warioba "Nchi imepoteza muelekeo" na Butiku "Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania"

Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.

Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.

Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.

WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
 
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.

Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.

Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.

WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
Wapiga dili na watu walozoea kuishi kwa ujanja ujanja ndio wapiga kelele wakubwa.
 
sitaki kuamini kama tumefikia huku, eeh mwingi wa rehema epushia mbali Haya mawazo mufilisikwa
 
Usiogpe mukulu kuambiwa ukwel mkuu aliyofanya mazur huko upande wako kwwngu bado

Hospital hakuna dawa ......
Shule hazina madawati wala ruzuku
Kagera pesa zetu ziko wapi
Sukar imeanza kupanda kimya kimya
Wanafunz mikopo hakuna

Hayo yote yanawagusa watanzania tulio wengi asa mm huku sitimbi unaniambia umenunua ndege utanisaidia nn wakat hataa uwanja WA ndege hatuna
Ivi hizo pesa za mafisad Na makusanyo ya kodi ndo mnatengenezea barabara ya masaki au ndo mmehonga wabunge juzi.

Aangalie priority ya watanzania vijana aawamu mbili hawana ajira wako kwa wazazi still wamekuwa mzigo baada ya elimu.
 
hahaha si ulimpigia kura kipindi kileee usilie sasa mpenz
 
Wapiga dili na watu walozoea kuishi kwa ujanja ujanja ndio wapiga kelele wakubwa.

Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.

Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.

Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.

WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
Kuwachunguza hakutaondoa upinzani dhidi yake !!. Kumbukeni karibu nusu ya WaTz walimkataa kwa kura . Watamkubali kwa kuona matendo mema ya serikali na si ubabe.

1.Ameanguka sana kwenye swala la mikopo ya wanachuo
2. Swala la Kagera ndio amefeli kabisa
3. Kisiasa ametaka kudhibiti peke yake siyo fair.
4. Mengine anajitahidi
 
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.

Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.

Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.

WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
Wewe utakuwa ni taahira
 
Kwa Tanzania ilipokuwa imefikia, ilikuwa anahitaji raisi kichwa maji ambaye anaendesha mambo kama dikteta hadi baada ya kuweka mambo sawa. Tulikuwa tumefikia pabaya jamani. Nchi ilikuwa chini ya madalali kila mahali. Magufuli anainyoosha kwanza na mambo mengine baadaye!!
 
Yaani nisimpinge sizonje kisa? Yeye Mungu au malaika? Aende zake huko maisha magumu kuliko maelezo yaani huyo jamaa nisivyompenda! Na ni haki yangu maana sijawahi mkubali
 
Back
Top Bottom