Kwahiyo unadhani ni yupi anafaa kupewa nchi??Tunamchukia Samia kwa sababu anahamasisha ufisadi katika Taifa letu zuri
View attachment 2264749
Tundu LissuKwahiyo unadhani ni yupi anafaa kupewa nchi??
Nani kasema asisafiri? mbona una mihemko sana 🤣Kwahiyo Rais Asisafiri?we mgonjwa nini
nakubaliana na wewe kuwa Samia hana suala la udini ukilinganisha na watangulizi wenzake.Wanaomchukia Samia kwasababu ya dini yake,uzanzibari,na kwa kua ni mwanamke muache mara moja
Nilichogundua kuna watu baadhi wanamchukia Rais Samia kwasababu ya dini yake na uzanzibari wake
Huyu mama uungwana wake na roho yake nzuri vitamponza sana maskini,sisi wabara tupo wengine tuna roho mbaya sana
Kuna watu wanamchukia Samia kisa ni mwislam, wengine wanamchukia kisa ni mzanzibarywengine wanamchukia kisa ni mwanamke kapewa madaraka makubwa hawakutaka yawe ila kwa uwezo wa mungu yamekua
Wengine wakaenda mbali wanasema Samia ni mdini, hadi sasa sijaona justification ya kumwiita SSH mdini, sijaona chochote kile kafanya cha kuprove ni mdini, nipo tayari kutoa dau la pesa hata ikibidi kwa atakayenionyesha kwamba mama ni mdini
Tatzo tunasahau kwamba teuzi pia anachukua zenji kama pia alivyofanya mtangulizi wake naye alichukua chato
Sasa Zanzibar wengi ni waislam 98% au 99% sasa unatarajia teuzi za kutoka visiwani ziwe za dini gani?
Mbona mwendazake alivyochukua chato ambapo 80% ni Christians maana yake wengi lazima wawe wakristo kuna tatizo hapo?
Mimi hadi sasa ukiniuliza viongozi walowahi kuwa na udini sana hapa tz ni mmoja tu, sio mwingine ni Mkapa, Mwendazake kwa hili tutamsingizia bure japo baraza lake la mawaziri ni kawaida kukuta waislam watatu tu, lakini hatuwezi kusema eti alikua mdini kwasababu teuzi zake zilikua za kwao ambapo wengi ni wakristo
Samia ana mapungufu mengi tu kwenye awamu yake, tumseme,tumkosoe sana na hakuna kumuogopa huyu bi mkubwa, lakini masuala ya udini na uzanzibar wake tafadhali tusiyaingize huko.
Awamu ya Samia mengi ya hovyo yamejitokeza mambo mabaya mabaya na utendaji mbovu ulozidi kiwango, lakini hili la udini, uzanzibar au umama tuyaache kabisa
Kingine tuwe makini sana, na tunavyoyajaji mambo, isije ikawa tunacheza ngoma ya genge lile la kikabila,maana nao hawalali wakikesha kumchafua mheshimiwa ili wao warudi kwenye ukuu, tusisahau miaka 6 ya yule mtu ilivyojaa mateso na dhiki, kwenye kuchagua namna ya kudeal na awamu ya 6 tuwe makini tusije tukawa tunawapa nguvu lile genge maana wale sio watu wazuri, kitendo cha ssh kuwa rais kimewauma sana.
Na hawampendi SSH na wanatamani lolote litokee, hawa sasa hivi nao wameanza kujifanya kutetea demokrasia na haki za binadam wakati miaka 6 ya yule jamaa hawa jamaa (gang) walituambia demokrasia haitakiwi na haki za binadam ni mikakati ya mabeberu
Tuweni makini tukihesabu hatua zetu
Ndio unagundua Leo?Nilichogundua kuna watu baadhi wanamchukia Rais Samia kwasababu ya dini yake na uzanzibari wake

Kabisa mkuunakubaliana na wewe kuwa Samia hana suala la udini ukilinganisha na watangulizi wenzake.
angalia katika nafasi za uteuzi mbalimbali dini gani ndio wamejaa ktk idara mbalimbali za serikali utakuta ni sisi wakristu waislamu ni wachache sana ktk nafasi mbalimbali za serikali na idara zake.lkn waislamu wapo kimya miaka nenda miaka rudi na nchi inasonga mbele.
Nashauri wanao leta chokochoko hizo waache ushamba.
nchi yetu itaendeshwa kwa nguvu ya pamoja na uwiano wa pande zote ili kuimarisha umoja wetu na uzalendo.
tuache kuwahadaa watu, kila kitu kinajulikana, hizi sio zama za miaka ya 65!! hii ni krne nyinhingine kabisaa.
, hakuna aliye bora zaidi ya mwengine, sote ni watanzania tuijenga nchi yetu kwa mshikamano na upendo.
Mungu azidi kumbariki Rais wetu Mama samia, kamwe asiyumbishwe na maneno ya wapuuzi wachache.
KabisaNdio unagundua Leo?
Hao wenye chuki wanamchukia Kwa sababu zifuatazo.
1.Jinsia yake,utasikia mwanamke hawezi kitu wakati wanaona ameweza hadi kuwashinda wanaume..
2.Uzanzibari wake-Saizi wanazusha mara tunapigwa mnada mara anapendelea Zenji mara anatupandishai Kodi zinaenda Zenj na upuuzi mwingine kama huo ilhali wanajua ni uongo..
3.Dini yake-Nimefuatili Marais wa Tanzania toka Zama za Mwalimu nimegundua malipongoza Waislamu Wakristo huwa wanaleta chokochoko na uzushi mwingi Sana..
Haya mambo aliwahi kuandika Pascal Mayala mapema Sana kwamba Rais Samia atafanya mengi mazuri na makubwa ambayo hakuna Rais wa kabla aliyafanya ila watamchukia kwa sababu hizo hapo Juu..
Sababu ya mwisho mtambuka ni ile ya wajinga ambao wanasema eti mbona anaenda kinyume na Mwendazake,Hawa ni wale wapumbavu ambao waliaminishwa kwamba Mwendazake ndio aliweka standards ya Kuongoza wakati in fact alikuwa ni moja ya ma Rais wa Hovyo kuwahi tokea hapa Tanzania..
Mimi nachowawezaga sasa huwa nataka mtu aseme kipi hasa anaona hakiko sawa,utakuta wengi wao hawana hoja na wako misinformed Sana..Kabisa
Kwani Rais Samia ndiye Rais wa kwanza Muislamu na Mzanzibari? Ninachojua wanaomchukia ni Sukuma Gang ambao ni kundi dogo tu la watu wasiojitambuaNilichogundua kuna watu baadhi wanamchukia Rais Samia kwasababu ya dini yake na uzanzibari wake