Kabisa !Mleta mada ni new member, bila shaka ni mzee Mwakyembe. Ughonile nkulumba!!
Kwani aliwahi kuwa msafi?Kumekuwa na mjadala baada ya Kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhakiki mali za chama. Mara baada ya kamati hiyo kuwasilisha ripoti yake mtu mmoja aliandika taarifa za kumhusisha Dk.Mwakyembe kwamba anahusika katika ufujaji wa mali za chama. Kimsingi taarifa hizo ni za upotoshaji na hivi sasa vyombo vinavyohusika na mambo ya uchunguzi vimeanza kuchunguza mtu au watu waliosambaza taarifa hiyo ya upotoshaji. Siku si nyingi atajulikana na hatua zitachukuliwa dhidi yake.
Mwakyembe ni msafi, sema anachafuliwa na fisadi ......sa, maana ana kinyongo tokea 2008
Inahitajika akili ya ziada kujua ilo
Inavyoonesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au umetumwa na mwakiembe kuja kupima upepo?
Mleta mada ni new member, bila shaka ni mzee Mwakyembe. Ughonile nkulumba!!
Mleta mada ni new member, bila shaka ni mzee Mwakyembe. Ughonile nkulumba!!
acha wivu na eddoMwakyembe ni msafi, sema anachafuliwa na fisadi ......sa, maana ana kinyongo tokea 2008
Inahitajika akili ya ziada kujua ilo
hahahaMleta mada ni new member, bila shaka ni mzee Mwakyembe. Ughonile nkulumba!!
Numekupata, hicho cheo chake cha "member" kimenipoteza. Basi nafuta kauliLolwe ni member since 2012
ELI-91 ni member since 2014
nani ni new member???
Mwakyembe tuliaKumekuwa na mjadala baada ya Kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhakiki mali za chama. Mara baada ya kamati hiyo kuwasilisha ripoti yake mtu mmoja aliandika taarifa za kumhusisha Dk.Mwakyembe kwamba anahusika katika ufujaji wa mali za chama. Kimsingi taarifa hizo ni za upotoshaji na hivi sasa vyombo vinavyohusika na mambo ya uchunguzi vimeanza kuchunguza mtu au watu waliosambaza taarifa hiyo ya upotoshaji. Siku si nyingi atajulikana na hatua zitachukuliwa dhidi yake.
Mwakyembe ni msafi, sema anachafuliwa na fisadi ......sa, maana ana kinyongo tokea 2008
Inahitajika akili ya ziada kujua ilo
Serikali ya Sasa imejaa watu wenye mentalities za kamata, funga! Vitisho kwa kwenda mbele! Mabavu kila leo, Hadi kwenye Mambo ya Kitaifa tunaanza kutishwa kufungwa! Tanzania Mungu tu aiponye!