Wanaolipwa milioni 40 kwa mwezi mwisho wao Juni 30

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
13102672_1096023933795397_8117958487068466056_n.jpg

Safi sana tutavuka tu.
 
Serikali ya awamu ya tano inatakiwa ku- engage consultant ili afanye evaluation ya kila shirika la uma na kuweza kuja na Performance Based Remuneration. Kila CEO apewe targets kulingana na potential ya taasisi yake na awekewe performance indicators ambazo zitaendana na malipo yake. Kama kwa mfano ATCL inaweza ikaingiza faida ya bilioni 1 kwa mwaka kuna shida gani CEO wake akalipwa 480 mil per year. Kama shirika linapata hasara kwa sababu zinazoweza kudhibitiwa kama uzembe, wizi, lack of innovation wakubwa wake wawe discounted kwenye mishahara yao accordingly.

Hatari ya utaratibu huu mpya ni kwamba, wakubwa wengi wa mashirika wanaweza wakakubali hiyo TZs mil 15 lakini .. they will compensate the difference kwa njia ambazo wanazijua. Wao ndiyo signatories wa mikataba mbali mbali, ndiyo wanahusika ku- approve purchases mbali mbali
 
kuna ugomvi wa asili kati ya masikini na matajiri na ukitaka kuwafurahisha masikini jifanye huwapendi matajiri hata kama na ww si masikini lakini ukijifanya huwapendi matajiri basi hutakuwa umewafurahisha sana masikini na watakuimbia mapambio popote hutakapokuwa na watakuona kama hero wao japo inawezekana wakawa hawafaidiki na harakati zako unazozifanya lakini nia yao ni kuona tajiri anapata misukosuko

kuna msemo unasema furaha ya masikini ni kuona tajiri anapata tabu na furaha ya tajiri ni kudipost na ku withdraw so cjuh nani hapa anamawazo chanya
 
Serikali ya awamu ya tano inatakiwa ku- engage consultant ili afanye evaluation ya kila shirika la uma na kuweza kuja na Performance Based Remuneration. Kila CEO apewe targets kulingana na potential ya taasisi yake na awekewe performance indicators ambazo zitaendana na malipo yake. Kama kwa mfano ATCL inaweza ikaingiza faida ya mil bilioni 1 kwa mwaka kuna shida gani CEO wake akalipwa 480 mil per year. Kama shirika linapata hasara kwa sababu zinazoweza kuthibitiwa kama uzembe, wizi, lack of innovation wakubwa wake wawe discounted kwenye mishahara yao accordingly.

Hatari ya utaratibu huu mpya ni kwamba, wakubwa wengi wa mashirika wanaweza wakakubali hiyo TZs mil 15 lakini .. they will compensate the difference kwa njia ambazo wanazijua. Wao ndiyo signatories wa mikataba mbali mbali, ndiyo wanahusika ku- approve purchases mbali mbali
Kila mkataba utafatiliwa na ofisi ya CAG/AG.
 
Naamini JPM hapa kuna kitu anakitafutia ufumbuzi wake, atakuwa ameona tatizo kwa wanaolipwa mishahara mirefu hivyo...huwezi jua tumpe muda...
 
hizi danganya toto sijui zitaisha lini,watu wanaolipwa zaidi ya milioni 20 awafiki 100 na akiwapunguzia hao awa wanaolipwa 360k watanufaika vipi?
 
Ataje mshahara wake na mishahara ya viongozi waandamizi. Kisha ataje na marupurupu yao, na yeye kuipunguza. Maana naona hadi sasa ni watendaji tu ndiyo wanasulubiwa; huku wanasiasa wakiendelea na matanuzi.
 
kuna ugomvi wa asili kati ya masikini na matajiri na ukitaka kuwafurahisha masikini jifanye huwapendi matajiri hata kama na ww si masikini lakini ukijifanya huwapendi matajiri basi hutakuwa umewafurahisha sana masikini na watakuimbia mapambio popote hutakapokuwa na watakuona kama hero wao japo inawezekana wakawa hawafaidiki na harakati zako unazozifanya lakini nia yao ni kuona tajiri anapata misukosuko

kuna msemo unasema furaha ya masikini ni kuona tajiri anapata tabu na furaha ya tajiri ni kudipost na ku withdraw so cjuh nani hapa anamawazo chanya
Yaani we Acha tu. Mm nashangaa watu wanashangilia watu kushushiwa mishahara badala ya kulia. Hawajui kuwa maisha yanategemeana. Alafu pia ifahamike. Hawa wanaolipwa hiyo mishahara hadhi yao sio sawa na mm huku chini. Hatuwezi sisi sote tukawa tunapishana kwenye milango ya maduka ya nguo kkoo. Wengine inatakiwa wavae nguo za mlimani city. Jeans ya 20000 wao wanainunua 70000. Sasa kuwashushia mishahara ni kuwapunguza class. Kitu ambacho si sawa kwa upande wangu. Ndio maana hata jeshini kuna vyeo. Ni kutofautisha class za watu. Wenye roho mbaya ndio wana shangilia wakisikia watu kupunguziwa mshahara ambao hawajaiba bali wanalipwa kihalali
 
Nadhani tatizo linakuwa pale CEO anapolipwa 40M na mtu wa chini akalipwa laki sita, about 67 times. Yaani mtu wa chini mpaka afanye kazi miaka 5 ndipo apate kipato anachopata CEO kwa mwezi.
 
duh tunarudi kwenye ujamaa kwa kasi hivi?...mi hata sishangilii, haya maamuzi yanaweza kuja ku backfire ikala kwetu,
 
Back
Top Bottom