Wanaokesha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, Karibuni Hapa

Wanaokesha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, Karibuni Hapa

Cha kwanza muwe mnajadili wizi wa ccm hadi kukamatwa na kura zilizokwisha pigwa. goli la mkono. ICC itawatenganishaje Kikwete, Lubuva na Mangu?
 
Toka songea bar na kumbi zote mwisho SAA sita tu
 
Mkuu mimi niko Mkoa wa Kusini Pemba. leo natoboa kabisa hakuna kulala huku mpaka kieleweke!
 
bukoba vijijini hali ni shwari maana maccm yana uhakika rweikiza atarudi tena bungeni,kwa hyo dalili za wizi hamna ila kata nyingi zitaenda ukawa
 
Mkikamta tu kura feki tieni kiberiti...

Mkiacha tu zipelekwe polisi kama ushahidi hapo mtakuwa mmepoteza...
 
Nipo hapa dar na kituo kiko shulen napg piga jicho manzes hapa
Hata nzi ikikatiza lazima nilale nayo mbele nijue inaenda wap halal mtu jimbo la ubungo
 
Mimi pia silali kwani usingizi hauji kabisa kwa kutafakari maisha yangu ya miaka kumi ilopita. Kila nikifikiria napata majibu /mrejesho hasi
 
Huu ni mwaka wa ukombozi wa pili toka mwaka 1961 baada ya wakoloni kukabidhi nchi kwa Hayati mwl.J.KNyerere!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom