ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 366
Mwanafunzi wa chuo kikuu au aliyesoma chuo kikuu hawezi leta mada iliyoandikwa kama ilivyoandikwa hii (tena akiwa anajaribu kutetea elimu inayotolewa na chuo chake). Mleta mada nawasiwasi kama wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo.
Lakini kama kweli wewe ni mwanachuo au uliwahi kuwa mwanachuo, nashawishika kuamini kuwa sio wa chuo ulichotaja (UDOM), isipokuwa unajitahidi kukichafua kwa kutumia "maudhui ya mada yako" na uandishi wako ambao ni "very poor".
Mwisho, ukitaka mada yako iwe tamu, dhibitisha kuwa "wewe ni mwanafunzi au uliwahi kuwa mwanafunzi wa UDOM"
Me nimesoma UDOM na nimekuwa kiongozi wa UDOSO nina ifaham fika,wanaiponda udom ni,wanafunzi waliofukuzwa chuo kwa migomo,kundi la waliokosa nafasi za kazi hapo udom,waliodisco hapo hasa collage ya informatic and virtual education,na wafuasi wa chadema ambao wanataka kukwamisha juhudi za serikari.Nakalibisha maswali kama yapo
Hii nchi ndio maana inashindwa kuendelea kwa kasi inayotakiwa kwa sababu ya watu kama wewe, chadema wanaingiaje hapo?
Mr. Mohamed Mohamed Mjahid, Head of depart
Mr. Nixon Mtonyole head department of
[h=1]Department of Telecommunications and Computer Networ[/h]Mr. Hector Mongi, Head of department
hao ni mifano tu ya wakuu wa idara, kama wakuu wa idara wote ma-Mr unategemea walimu watakuweje huko? usanii mtumpu.
[h=1][/h]
Me nimesoma UDOM na nimekuwa kiongozi wa UDOSO nina ifaham fika,wanaiponda udom ni,wanafunzi waliofukuzwa chuo kwa migomo,kundi la waliokosa nafasi za kazi hapo udom,waliodisco hapo hasa collage ya informatic and virtual education,na wafuasi wa chadema ambao wanataka kukwamisha juhudi za serikari.Nakalibisha maswali kama yapo
kumbe nawewe ni kibaraka? Twambie hapo kuna nini special zaidi ya majengo mapya? Walimu wengi mmeazima toka udsm kwa kigezo cha kuwapa uongozi wa idara nk na wakishindwa wanarudi.
Vyuo vikuu viko 3 tu udsm, sua na muhimbili. Udom bado sanaaaa.
walimu wenyewe wanasomea china kuna kitu kweli hapo?
mkuu ina maana hata chuo kikuu ardhibado sanaaa.
Yaani unasema waalimu ni YUTONG!
Nitamueleza huyo kiumbe anayeuliza maana ni sawa na anayesifia ubora wa DAR wakti hajawahi toka nje ya nchi. Ubora ni relative term.
jipange upya kufikirikumbe nawewe ni kibaraka?
Twambie hapo kuna nini special zaidi ya majengo mapya? Walimu wengi
mmeazima toka udsm kwa kigezo cha kuwapa uongozi wa idara nk na
wakishindwa wanarudi.
Vyuo vikuu viko 3 tu udsm, sua na muhimbili. Udom bado sanaaaa.