Marangu ! habari kaka!
UDOSO inadhambi sana, walishindwa kutetea wanafnzi waliosomeshwa na bodi, baadae WAZIR wa elimu akasema(bungeni), waliokataa kusaini mkopo/kukubali kulipiwa alipe mwenyewe , iweje mwanafunzi aombe mkopo(boad), kisha aktae kusaini kukubali kwenye yale mafaili/yenye majina mengi, nk ?
Binafsi nilipita udom nikayaona, hayo matatizo, matatizo mengine ni qya kawaida...mengine sio ya kawaida.
Pamija na kosa hilo la UDOSO NA WATAWALA WALIOSHINDWA KUSAIDIA WANAFUNZI, eti wanadai walikataa wenyewe kusaini, baadae ikapita fatwa kwamba lazima walipe , nikashuhudia wanafunzi wachache wakipa milionis, laki za ada waliyopaswa kulipiwa na bodi.
Wengi nadhani watakuwa mtaani wakisaka ada ya kukombolea vyet vyao.
LAKINI: UDOM ni chuo bora labda mwenye tabia ya fujo, siasa, udini, umalaya nk lazima atakiona chuo hakifai, one of the best university kwa Tanzania na afrika mashariki, wasojua watabeza, wanaokijua na kujua vyuo vingine watakubaliana name.