wanaoifahamu coz ya computer science and software engineering chuo cha RUCO/RUCU

ndugu yangu iyo coz umeumia ajira zake ni ishu, me nakushauri achana nayo tafuta kitu kingine cha kufanya, mm nimesoma iyo kitu mpaka sasaivi hali ni mbaya kwanagu nilimaliza 2008 mpaka sasaivi sina kazi wala kibarua cha iyo kitu
 
mkuu mimi naona hukupata chance tu, labda kama hufahamiani na watu, ila hyo kozi ni nzuri tu, na wapo watu wanapiga pesa sehemu mbalimbali. uzuri wa hyo kozi unafanya kazi popote kwenye computer aided.. iwe kwenye makampuni, jeshini, viwandani, mabenki n.k
 
Piga shule dogo.Pata degree anza kufanya mambo mengine
 
ndugu yangu iyo coz umeumia ajira zake ni ishu, me nakushauri achana nayo tafuta kitu kingine cha kufanya, mm nimesoma iyo kitu mpaka sasaivi hali ni mbaya kwanagu nilimaliza 2008 mpaka sasaivi sina kazi wala kibarua cha iyo kitu

wakati watu wanaomba msaada wa ushauri kwenye jukwaa la udahili wa vyuo, mliwaambia kozi nyingi sana nzuri ikiwemo hii ya compter science. sasahivi ndo mnajifanya kukosoa wakati wameshazijaza na wakachaguliwa. kuna watu wanatokea kwenye familia zisizo na wasomi na hutumia majukwaa kama haya kuomba ushauri, mnachowafanyia sio kizuri kabisa. kijana nenda kasome kama yeye kakosa ajira ni yeye ila hyo kozi ni nzuri chamsingi mtangulize mungu.
 
daaa mungu tusaidie

kama una miaka 22, mpaka umalize una 26 ukianza michakato ya ajira utajikuta una 30 uku hauna kitu, utapanic utataka ukasome masterz utajikuta una 35 na bado patupu, unaweza kufa kwa pressure cha msingi tafuta kitu kingine cha kufanya broh
 
Ukweli unatakiwa kuwa makini ....utajikaanga na mafuta yako mwenyew kuna rafk angu kasoma course hyo na kaamua kwenda kupga tempo ya kufundisha tu
 
mimi pia nimechaguliwa hiyo kozi hapo. but i wont let anyone upset me kwakuwa niliijaza mwenyewe kwa passion yangu. ajira ni uchangamfu wako mwenyewe, na sio lazima kuajiriwa tu, kuna kujiajili pia. kaka twende tukapige mzigo
 
ndugu yangu iyo coz umeumia ajira zake ni ishu, me nakushauri achana nayo tafuta kitu kingine cha kufanya, mm nimesoma iyo kitu mpaka sasaivi hali ni mbaya kwanagu nilimaliza 2008 mpaka sasaivi sina kazi wala kibarua cha iyo kitu

Wewe unamshauri mwenzako asisome software engineering? Wewe upo dunia gani ndug yang, dunia sasa inahama kwenda kufanya kila kitu kuwa coded then unamshauri mwenzako asisome. Wewe kama umesoma software engineering then hauna kazi siyo sababu ya msingi kumkatisha mtu tamaa,pia kama umesoma software engineering then ukamaliza na GPA ya 2.2 who gonna employ you?
Umesoma software engineering unamaliza hata hujui ku create code ya anwani yako?wtf are talking about? Ukisoma software engineering usipoajiriwa u can code au kuomba tenda kwenye makampuni mbali mbali uwe unawaandalia softwares.
Mimi nasoma hii kitu(programming and cyber security) nipo UAH (university of Huntsville Alabama) kama jamaa anapenda kusoma software engineering anitafute pm I will give him software za visual studio and python.
 
habari za asubuh ndugu zanguni nimechaguliwa hii coz ya computer science and software engineering chuo cha ruco sikutegemea lakin ndo ishakua hivo. nlikua naipa credit n dogo sana. but kwa mapenz ya mungu ntaiheshimu daima maana hapa sina jinsi nlikua napenda sana medical labaratory.

kinachoninyima usingiza ni upatikanaji wa ajira. jaman naomben mniambie ndugu zanguni upatikanaji wa ajira nisije kusugua mtaa. maana nampango nikasome tuu diploma ya clinical medicine form six yangu iwe ishapotea hivo.
msaada plz. vp ttcl?, makampuni ya simu na makampuni binafsi.
sina amani kabisa moyoni

Nitafute pm nikusaidie software
 
zikitokea ajira za IT, basi mwenye computer science ndiye mjuzi zaidi hivyo hupata kiurahisi compared to IT. ajira za masuala ya computer na mawasiliano ni lundo, na kwahuko tunakoelekea ni nying zaidi
 
Wewe unamshauri mwenzako asisome software engineering? Wewe upo dunia gani ndug yang, dunia sasa inahama kwenda kufanya kila kitu kuwa coded then unamshauri mwenzako asisome. Wewe kama umesoma software engineering then hauna kazi siyo sababu ya msingi kumkatisha mtu tamaa,pia kama umesoma software engineering then ukamaliza na GPA ya 2.2 who gonna employ you?
Umesoma software engineering unamaliza hata hujui ku create code ya anwani yako?wtf are talking about? Ukisoma software engineering usipoajiriwa u can code au kuomba tenda kwenye makampuni mbali mbali uwe unawaandalia softwares.
Mimi nasoma hii kitu(programming and cyber security) nipo UAH (university of Huntsville Alabama) kama jamaa anapenda kusoma software engineering anitafute pm I will give him software za visual studio and python.

Kaka sory naku-pm nina mazungumzo kidogo na ww sory
 
Kaka naku-pm nina maongezi na ww kidogo
 
Mi nimeisoma coz hiyo... Km una passion na hiyo kitu, inalipa sanaa kabla hata ya ajira... Ila km huipend, utamaliza mwaka wa mwisho unajiona km hujasoma kitu... Course za computer science zinahitaj competence.. Not only g.p.a. coz ajira zake zipo practical zaid kuliko kukaa ofisin na kuandika andika.. Thats whats up!
 
Very true COMPITENCE
 
ndugu yangu iyo coz umeumia ajira zake ni ishu, me nakushauri achana nayo tafuta kitu kingine cha kufanya, mm nimesoma iyo kitu mpaka sasaivi hali ni mbaya kwanagu nilimaliza 2008 mpaka sasaivi sina kazi wala kibarua cha iyo kitu

Upo na huku?!wacha kumpotosha mwenzako!
 
Back
Top Bottom