Wanaoibua manenoo mapya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaoibua manenoo mapya!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BIG Banned, Jun 8, 2012.

 1. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna maneno mengi mapya mapya yanayoibuka kila siku kwenye kiswahili (sharobaro, Mzuka, ..... etc etc). Ni kina nani hasa wanaoibua hivi vimaneno vipya kila siku!.

  Mi nianze kwa kulist watatu, (ongezea tafadhali). In descending order.


  1. Makondakta
  2. Wasanii wa Michezo ya kuigiza
  3. Wasaniii wa Muziki.
   
Loading...