Wanaohitaji vitabu vya kusoma: IT/Programming/Android/Web Development n.k

Wanaohitaji vitabu vya kusoma: IT/Programming/Android/Web Development n.k

whatsup

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
10
Reaction score
6
Kama unashida na kitabu chochote kile cha Kiingereza lugha na hasahasa maswala ya IT lakini pia na mambo mengine, wasiliana na mimi kupitia inbox yangu,

NOTE: PDF format only!

Bei kuanzia 2000 nakuendelea kupitia PAYPAL, mobile money kama M-pesa, AirtelMoney au cash. Wenye kiu yakusoma kazi kwenu. Kabla hujanicheki angalia bei ya kitabu chako amazon au ebay kisha nitumie jina la kitabu na author usijeukona ni kazi rahisi kuvipata, nina connection.

Lengo langu nikukuza elimu ya technologia tanzania. Mchango wako sio malipo maana hakuna kitabu kinachouzwa 2000/=? Unampooza au waswahili wanasema maji yakunywa.

Asante sana!!
 
CHA OFFER HAKUNA.......????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom