WANAOHITAJI MSAADA JUU YA SOMO LA HISABATI (MATHEMATICS)

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Mimi ni mwalimu kitaaluma katika ufundishaji wa masomo ya Hisabati na Jiografia.
Kwa wanaotaka huduma ya kufundishwa au kufundishiwa watoto wao hapa Dar es Salaam, mimi ninatoa huduma hiyo.
Ninaweza kukufuata popote ulipo (Nyumbani kwako) ili upate huduma yangu, yenye ubora madhubuti.
Huduma hii ninaitoa kuanzia wanafunzi wa Shule ya msingi (Primary) hadi Sekondari.
Karibuni sana.
 
Najua umeamua kuwa mjasiliamali baada ya kuchoshwa na uongo wa Kaairuki, Ndalichako, Simbachawene na Jafo.
kazi njema 'mateka' mwenzangu
 
Mimi ni mwalimu kitaaluma katika ufundishaji wa masomo ya Hisabati na Jiografia.
Kwa wanaotaka huduma ya kufundishwa au kufundishiwa watoto wao hapa Dar es Salaam, mimi ninatoa huduma hiyo.
Ninaweza kukufuata popote ulipo (Nyumbani kwako) ili upate huduma yangu, yenye ubora madhubuti.
Huduma hii ninaitoa kuanzia wanafunzi wa Shule ya msingi (Primary) hadi Sekondari.
Karibuni sana.
Mkuu ukipata sehemu itakuwa vzr zaidi, hiyo itakuja kukupa case kwa watoto wakike!!!
 
Nimeoa tayari, lakini pia hii ni nzuri zaidi, maana mtoto ninampigia pindi mbele ya wazazi wake na kumuacha hapo hapo. Ila nikitafuta sehemu, baada ya kufundishwa mwanafunzi anaweza kupitia anakojua yeye. Bado case inaweza kuelekezwa kwangu.
Hii njia niliyoipendekeza bado naona ni bora zaidi.
Ila naendelea kupokea ushauri, nikihamasishwa huenda nikahamasika.
 
Mkuu naongea hivi kuna jamaa angu alipatwa na kisa hicho, kuna mzazi atakuambia ukafundishe mwanae wakati mtoto mwenyewe hapendi kusoma hususani hizi hesabu!!!
Kwa huyu jamaa angu alipewa tuhuma za kubaka, kuna siku wazazi wa binti walisafiri ndio akaona ni mda sasa wakutengeneza hizo tuhuma.
Pia nimesema haya kama tahadhari tu na haimaanishi kama yatakupata wewe!!!
I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom