Wanaohitaji bidhaa kutoka China kwa bei ya jumla.

Hello, Mimi naitwa Priscilla nipo China for studies
Pia ninafanya biashara ya kufungia mizigo wholesale buyers kupitia Instagram page @panda_sourcing @panda_sourcing
Bidhaa tofauti kwanzia nguo za watoto, nguo za watu wazima, underwears, shoes, handbags and accessories tofauti.
Machinery equipments
Stationery equipments
Furniture equipments za ofisini, salons, hotelini, nyumbani, n.k
Bidhaa bei inakuwa chini Mteja akichukua pieces nyingi au kuchukua bidhaa tofauti kwenye duka moja.
Mimi ninakupa bei ya jumla ya masokoni
Ninakufungia mzigo na kuupeleka warehouse for shipping.
You pay me a commission fee! Of which ni makubaliano yetu binafsi!
Anyone who is interested please contact me for more information kupitia
WhatsApp +8618857052304
Na pia pitia Instagram page yangu ninayotumia kupost bidhaa tofauti @panda_sourcing @panda_sourcing
Nitafutie kimashine cha kusafishia taa za gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boxer dozen moja zinakaa ngapi dada?
 
simu vip udeal nazo

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_8455.JPG
IMG_8454.JPG
 
Hongera sana
Ila nimepiga hesabu hapo kwa chupi moja itakuja 750x12 =9000
Na kwa kariakoo zinauzwa kuanzia 5000 mpaka 8000 hivi,
Je hii tofauti ya bei inasababishwa na nini na zote zinatoka china?
Kuna namna ya kupata kwa price ya chini zaidi?
Maduka mangine hadi alfu 4000

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hizi hapa ni pure cotton zinakaa 12 nimechukua kwa elf 30, means 2500 kila mojaa,

Mimi nikitoa hela yangu kununua kitu kwako ni kwamba umenishawish kweliii
IMG-20190201-WA0014.jpeg
IMG-20190201-WA0012.jpeg
 
Hizi Vest mm nachukua kwenye machimbi ya ndani ndani 9500k, na hizi ndio quality huwezi linganisha hizi na polo, super n.k, na hata bei hutofautiana
20190213_101823.jpeg
 
Chupi kwa bei hiyo kuiuza utachina manake wateja wengi wananunua za bei za chini hasa ikishakuwa ya mtoto bora walau watu wazima wananunua hata za 5000 moja
@Hornet sijakuelewaa, jumla nachukua elf 30 zikiwa 12, reja reja nauza 4000k, unamaanisha hapo ni ngumu kuuza kulinganisha na quality zake?
 
Hizi ni 9000 kamili.
Blv m sio yarrison na kwa sasa? Wewe unazungumzia polo wanazofoji kuweka kwenye mifuko ya yarisoni, mwanzo walikua wanauza kwa 9000 ila sio sasa, nasema hivi kwa kuzunguka chimbo nying sanaaa,
Na pia kumbuka Polo zinafanana kbsa na yarrison, wamecopy kuanzia mifuko na pen ndani
 
Siwezi kubisha unaweza kuwa sahihi pia
Mimi ndiyo bei ninayochukulia na ni duka langu la siku zote.
 
Back
Top Bottom