prissy19
Member
- Sep 28, 2014
- 73
- 75
- Thread starter
- #61
Kbsaaa, mm sikutaka kumbishia sana maana kila mtu na mtazamo/maisha yake ila kweli chupi ya mia 500 kweli hali ni ngumu ila ni wachache sana wanazavaa tena kwa Dar,
La sivyo ukiivua kabla haijafka magotini ushapiga chafya km 14 hv za fasta fasta ukimaliza hapo ukatafte dawa ya Fluu
Chupi ya 500 ya wapi hiyo???
Chupi quality zinaanzia Tsh 1,500 hata za watoto! Na huwa zinadumu muda mrefu ni kuzingatia tuu usafi!!
Chupi za wakubwa zinaanzia Elfu 3000 kwa reja reja
Hapo chupi zangu zote ni zipo chini ya 1,000
That means hii biashara inalipa! Hata ukiuza jumla!!!
Mimi nakuletea bidhaa QUALITY kwa bei nzuri!!
Ni bora uchukue ya 1000 ukae nayo week au uchukue ya 2000 ukae nayo miezi mitatu