ChickMagnet JF-Expert Member Jul 19, 2013 2,642 3,270 Jan 27, 2021 #21 johnhance said: wazee wa kwa Mpalange mpo ? Click to expand... Tupooo ! Raha ya nanga itoke na tope
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 31,829 33,225 Jan 27, 2021 #22 Kuna mshiriki amerudiwarudiwa sana kwenye picha kulikoni ewe mpiga picha!?
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jan 27, 2021 #24 Ngono ya aina yoyote tupo hatarini
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,957 93,939 Jan 27, 2021 #25 Wanadamu wa leo hata tuelezwe vipi hakuna kitu inakaa akilini...