Wanaodhani familia ya Dewji ni rafiki wa Watanzania fikirieni tena

...poor people tend to mind others business rather than their own business....
 
Capitalism is all about maximization of profit and screwing workers as much as possible that's all ,

makampuni ya kimarekani kama General Electric , Apple n.k yamepigiwa sana kelele humo Marekani kutokana na low wages wanazotoa kwa wafanyakazi wake wanaofanya kazi kwenye viwanda vya hayo makampuni na ikafikia kipindi wakaanza wakasema isiwe shida wakaanza kuoffshore hizo facilities zao za uzalishaji nje ya Marekani kwa nchi kama Mexico , China ,Brasil n.K , si miaka mingi na wamarekani au working class wameshaanza kuionja joto ya jiwe kutokana na nyodo zao na ndio sababu kuu ya kumchagua huyo Trump wao kutokana na ahadi ya kurudisha ajira , na wote tujajua kuwa hakuna nchi yenye uwezo wa kuajiri wananchi wake wote , hivyo sekta binafsi inapopigwa vita ninamashaka sana na tunalolifanya , we may be biting than what we can chew , tuwe makini kwenye hili

Kinachoweza kusaidia ni kwa wizara husika , wizara ya kazi na ajira na pia wizara ya viwanda na uwekezaji kufanya réévaluation ya hili suala na kukaa meza moja na hawa wafanyabiashara wakubwa na kufikia kiwango ambacho atleast kinaendana na gharama za maisha za sasa , ila biashara ya kutekana sidhani kama italeta tija kwenye hili
 
Mkuu niko na wewe kabisa, Mkuu wa Kaya anakosea ku deal na watu kama hawa tena haina haja ya kufanya siri na michezo ya kitoto. Kuna malalamiko sana kwenye kampuni kama za Mo kuwa kwenye uongozi hakuna wazawa na nakumbuka hata hapa JF nishawahi kusoma malalamiko kama hayo. Mkuu wa Kaya anatakiwa kutumia ubongo sio msuli.
Mzawa yupi una maanisha?
 
Watekaji mna mambo, ili kuthibisha uhalali wenu,MBONA Dada wa Kazi weusi wenzetu mnawalipa kidogo,chuki na matajiri umfanya masikini kuzidi kuwa masikini
Fact , tena wafanyakazi wa ndani wanawafulisha hadi nguo za ndani na wanawalipa 50000 kwa mwezi , huu unafiki ni mbaya sana , wanwapigisha mzigo siku nzima na hata wengine papuchi wanapiga tena kwa lazima *****
 
Uzi mwingine tena kutoka kwa MTU anaye deal na matokeo badala ya chanzo cha matatizo, kutatua Tatizo, na hapo ndipo watu weusi tunafail vibaya linapokuja swala la kutatua matatizo yanayotuzunguka

Mkuu mtoa mada , Mo analipa mishahara midogo isiyo hata na tija , kutokana na kuwepo supply kubwa ya watu wasio na ajira ,

Serikali haiajiri watu wengi, sekta binafsi , ndo hizo zimebanwa na utitiri wa Kodi na masharti kibao , nyingi zinakufa au zinaamua kufungasha virago kuelekea kwenye nchi nafuu, kwa akili ya kawaida kabisa utategemea lundo la wakosa ajira liliopo atokee mtu alipe mishahara minono? , vipi kama mazingira ya wawekezaji au sekta binafsi yangeboreshwa , sekta binafsi ikaajiri kwa ufanisi , unadhan watu wangekwenda kufanya Kaz na kunyanyasika kwa Mo ?
Hoja fikirishi sana
 
Kufuatia tukio la hivi karibuni la mfanya biashara Mo Dewji kutekwa tumesikia watu wengi wakimuombea awe salama. Hiki ni kitendo cha kiungwana na nawasifu Watanzania kwa hilo.

Lakini, ukigeuza upande mwingine wa shilingi utagundua kwamba familia hii inaitumia hii nchi kama choo cha manispaa, wanafanya haja zao na kuondoka.

Kwanza nianze na suala la ajira. Watu wanasema kuwa familia ya Dewji inatoa ajira nyingi kwa Watanzania. Hilo ni sawa lakini wanatoa ajira si kwa kuwapenda Watanzania bali ni kwasababu inawabidi ili kazi zao ziende. Ukiangalia mazingira ya kazi na kipato cha Watanzania weusi wanaowafanyia kazi ni ya kusikitisha.

Kwa mfano, kuna mtu mmoja ambaye aliajiriwa na moja ya kampuni inayomilikiwa na familia ya Dewji alikuwa akiniambia ya kwamba walikuwa wakifanyishwa kazi kitumwa. Mshahara ulikuwa mdogo na maneno ya kejeli juu.

Familia hii na wenzao wanaoshabihiana kwa rangi moja pia walikuwa wanajipenyeza kwenye nafasi za kisiasa na kutumia pesa kwa wafanyakazi wa serikali ili kufanya mambo yao yaende.

Kwa kuhitimisha nasema kwamba mimi sio mshabiki wa Magufuli, kuna mambo mengi sana natofautiana nae lakini anakata mirija ya watu hawa namuunga mkono kwa hilo
Ur claims cannot be substantiated... U jus wrote some empty words.... Bragging, some here say..
 
Mtoa mada nakuunga mkono, rais anafanya maamuzi kwa kutumia taarifa nyingine za siri ambazo ata sisi hatuzijui, infact mali zao ni mali za umma tuliwapa ili waziendeleza , wanachofanya saivi ni kujilimbikizia mali badala ya kuinua watanzania.
Acha ujinga wako wewe , mashirika yote ya kiserikali yamefirisiwa na yalishindwa yote kujiendesha kutokana na incompétence na ufisadi wa ccm , sasa unasema walipewa so what ? , nani aliwapa ? , je walipewa bure ? , na kama serikali ilishindwa kutaendeleza wewe ulitaka yasiendelezwe au ? Na kama ni hivyo kwa nini sheria isitumike juwawajibisha kuliko uhuni wa kutekana ? Na point yako ya kitoto eti " tuliwapa mashamba wayaendeleze " serikali iliwaajiri wawafanyie kazi ya kuyaendeleza hayo mashamba ?

Ulichoandika ni vichekesho
 
Kufuatia tukio la hivi karibuni la mfanya biashara Mo Dewji kutekwa tumesikia watu wengi wakimuombea awe salama. Hiki ni kitendo cha kiungwana na nawasifu Watanzania kwa hilo.

Lakini, ukigeuza upande mwingine wa shilingi utagundua kwamba familia hii inaitumia hii nchi kama choo cha manispaa, wanafanya haja zao na kuondoka.

Kwanza nianze na suala la ajira. Watu wanasema kuwa familia ya Dewji inatoa ajira nyingi kwa Watanzania. Hilo ni sawa lakini wanatoa ajira si kwa kuwapenda Watanzania bali ni kwasababu inawabidi ili kazi zao ziende. Ukiangalia mazingira ya kazi na kipato cha Watanzania weusi wanaowafanyia kazi ni ya kusikitisha.

Kwa mfano, kuna mtu mmoja ambaye aliajiriwa na moja ya kampuni inayomilikiwa na familia ya Dewji alikuwa akiniambia ya kwamba walikuwa wakifanyishwa kazi kitumwa. Mshahara ulikuwa mdogo na maneno ya kejeli juu.

Familia hii na wenzao wanaoshabihiana kwa rangi moja pia walikuwa wanajipenyeza kwenye nafasi za kisiasa na kutumia pesa kwa wafanyakazi wa serikali ili kufanya mambo yao yaende.

Kwa kuhitimisha nasema kwamba mimi sio mshabiki wa Magufuli, kuna mambo mengi sana natofautiana nae lakini anakata mirija ya watu hawa namuunga mkono kwa hilo
Exactly, njia anazotumia sisonje zinamuweka pembeni kabisa na kuwa dictator of the century. Definitely wahindi, capitalists for that matter ni wanyonyaji, tena ile tunaita absolute impoverishment. But we need to follow legal means to deal with these people and not brutality as it is done now by sisonje!

Sio tu kwa wahindi kuwanyonya watanzania

nimebatika kwenda India na kukaa miezi 6 ilinitosha kujua tabia zao

wao wanatumikishana hata wao kwa wao kuna wahindi wekundu ni masikni wa kutupwa na omba omba

na wafanyishwa kazi sana sana tena kwa ujira wa dollar 2 kwa siku ni upuuzi

ubaguzi ni asili ila hata watu weusi hawalipi vizuri fatilia Dangote

mzungu tu ndiye namwamini kwa kulipa.
 
Mo na kampuni zake sio wabaya, ila wale wanaotunga sheria zinazomlinda yeye na kufanya maisha ya wananchi kuwa magumu

kama uwepo wako kwenye moja ya kampuni zake unakusababishia athari sidhani kama kwenye hiyo mikataba hakuna kipengele cha kujiondoa na hiyo ajira.!

Vile vile kama kiasi cha mishahara anayolipa wafanyakazi wake imewekwa kw mujibu wa sheria za kazi na ajira na wewe ukaenda pale ukakubaliana nao kw nini ulalamike wakati mlifikia muafaka na ukasaini mwenyewe.? labda unambie huwa anawateka mnajikuta tu umesaini mkataba wa kazi.
 
Kufuatia tukio la hivi karibuni la mfanya biashara Mo Dewji kutekwa tumesikia watu wengi wakimuombea awe salama. Hiki ni kitendo cha kiungwana na nawasifu Watanzania kwa hilo.

Lakini, ukigeuza upande mwingine wa shilingi utagundua kwamba familia hii inaitumia hii nchi kama choo cha manispaa, wanafanya haja zao na kuondoka.

Kwanza nianze na suala la ajira. Watu wanasema kuwa familia ya Dewji inatoa ajira nyingi kwa Watanzania. Hilo ni sawa lakini wanatoa ajira si kwa kuwapenda Watanzania bali ni kwasababu inawabidi ili kazi zao ziende. Ukiangalia mazingira ya kazi na kipato cha Watanzania weusi wanaowafanyia kazi ni ya kusikitisha.

Kwa mfano, kuna mtu mmoja ambaye aliajiriwa na moja ya kampuni inayomilikiwa na familia ya Dewji alikuwa akiniambia ya kwamba walikuwa wakifanyishwa kazi kitumwa. Mshahara ulikuwa mdogo na maneno ya kejeli juu.

Familia hii na wenzao wanaoshabihiana kwa rangi moja pia walikuwa wanajipenyeza kwenye nafasi za kisiasa na kutumia pesa kwa wafanyakazi wa serikali ili kufanya mambo yao yaende.

Kwa kuhitimisha nasema kwamba mimi sio mshabiki wa Magufuli, kuna mambo mengi sana natofautiana nae lakini anakata mirija ya watu hawa namuunga mkono kwa hilo
Watanzania makini watakuelewa,lakini mtanzania wa kawaida msubiri kilo ya unga kutoka kwa Dewji atakuona wewe ni gaidi kabisa."Bwana" katekwa halafu wewe unashabikia!Mimi nakuunga mkono 100%,hawa jamaa ni wezi na wahujumu uchumi,kwa hiyo ipo haja ya kuwashuhulikia.Binafsi sijawahi kuona Mhindi muaminifu,na akina Dewji are not any different.It is better without them.
 
Sio tu kwa wahindi kuwanyonya watanzania

nimebatika kwenda India na kukaa miezi 6 ilinitosha kujua tabia zao

wao wanatumikishana hata wao kwa wao kuna wahindi wekundu ni masikni wa kutupwa na omba omba

na wafanyishwa kazi sana sana tena kwa ujira wa dollar 2 kwa siku ni upuuzi

ubaguzi ni asili ila hata watu weusi hawalipi vizuri fatilia Dangote

mzungu tu ndiye namwamini kwa kulipa.
Kuna wakati mfanyakazi wa kike (miaka ya nyuma kidogo jina silikumbuki) ITV alikufa ikaja kujulikana kuwa hata mkataba wa kazi hakuwa nao, alikuwa anafanya utangazaji kama kibarua. Hivyo ndiyo capitalist mode of production, profit maximization
 
Ulaya kuna sheria, kama huwezi kumlipa mtu usimwajiri. Sasa na njaa za weusi sis, ......unafanyaje, unakubali hivyo hivyo. Unauza sura (wanawake) unapata washikaji maisha yanaenda.
 
Kuna wakati mfanyakazi wa kike (miaka ya nyuma kidogo jina silikumbuki) ITV alikufa ikaja kujulikana kuwa hata mkataba wa kazi hakuwa nao, alikuwa anafanya utangazaji kama kibarua. Hivyo ndiyo capitalist mode of production, profit maximization
Hapana; alipewa mkataba wakati anaumwa...namkumbuka hadi jina yule mdada(R.I.P). Haipendezi kumtaja hapa.
 
Watanzania makini watakuelewa,lakini mtanzania wa kawaida msubiri kilo ya unga kutoka kwa Dewji atakuona wewe ni gaidi kabisa."Bwana" katekwa halafu wewe unashabikia!Mimi nakuunga mkono 100%,hawa jamaa ni wezi na wahujumu uchumi,kwa hiyo ipo haja ya kuwashuhulikia.Binafsi sijawahi kuona Mhindi muaminifu,na akina Dewji are not any different.It is better without them.
Mo ni mwekezaji kama wawekezaji wengine.Sitegemei unga wake wala maji yake kuishi, but KWELI HUMUWEKA MTU HURU. Hii nchi ni yetu, na kuna sheria zipo za uwekezaji na masuala mengine kadha wa kadha. Sasa tujiulize, kama kuna taratibu amezikiuka kwenye kazi zake, sheria imefanya nini au imekaa kimya? Anyway, kama ni mhujumu uchumi, amewezaje kwenda kufanya kazi Rwanda, South Africa,Botswana, Ethiopia na kwingineko?
Tujenge hoja sahihi juu ya tukio hili la kutekwa kwake. Kama hatuna hoja ni bora tuwe wawazi ili tusubiri mamlaka zinazoshughulikia tukio hili.
 
Wa
Hapana; alipewa mkataba wakati anaumwa...namkumbuka hadi jina yule mdada(R.I.P). Haipendezi kumtaja hapa.
Was it proper kumpa mkataba wakati anaumwa. Kabla hujaanza kazi inabidi uwe umesaini mkataba tayari. Nimemsahau jina ningelimtaja maana hata marehemu wanatajwa, hakuna kosa au kuvunja maadili!
 
Back
Top Bottom