Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Propaganda hizo ndugu. kama Twaweza walivyosema, watanzania wengi ni Wajinga, hawajui walitendalo, ni mkumbo wa ndiooooooooooooooooooooooooooooooooKumeibuka na style mpya ya upongezaji kwa rais wetu Dr.John Joseph Magufuli ya maandamano ya amani.
Maandamano haya mara nyingi hufanywa kuelekea kwa wakuu wa wilaya au mikoa mara nyingi ambao kwa nafasi zao wao ni wateule wa rais.
Napenda tutoane vumbi machoni; je, hawa wakuu wa wilaya na mikoa ndio wanaoratibu maandamano haya kama njia tu ya kutetea tonge lao bila ya washiriki wa maandamano kulifahamu hili au ni msukumo wa ndani wa waandamanaji ndio huwasukuma kufanya hivi kwa mazuri ya rais wetu?
Haya meneja ngoja tusubiri maoni mengine ili tukusanye data kamili.Propaganda hizo ndugu. kama Twaweza walivyosema, watanzania wengi ni
NWajinga, hawajui walitendalo, ni mkumbo wa ndioooooooooooooooooooooooooooooooo
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
Haikuwa Mona ya vigezo lakini ilikuwa moja ya makubaliano, kuwa nakuteua ila lazima ufuate masharti yangu, na Moja ya masharti yanayotolewa kwa sasa na aliyewateua ni kuratibu maandamano uchwara yenye lengo ya kuwahadaa watu eti anakubalika kumbe hamna lolote! overHebu tukumbushe vigezo vilivyo tumika kuwapa nafasi hizi, je kuandaa maandamano ilikuwa ni moja ya vigezo? Ili sasa tuone jinsi wanavyoitumia hii taaluma yao kivitendo. Maandamano yapo kwa sababu ni justify able kwa yanayo endelea kutekelezwa na ungozi wa sasa wa taifa letu.
Na washawasha!