Ajira za kujitolea trc ni mpaka kipatikane kibali kutoka kwa HR. Ila kwa ajira ya moja kwa moja ni mpaka ukapambane utumishi baada ya kutangazwa tangazo husika. Kuna vijana walipata temporary contact wakiwemo ma welder na carriage and wagon examiners (mafundi wa mabehewa) mpaka leo hawajalipwa na wamesimama kwa muda.Nilijipendekeza kwa Steshen master alivyoletwa hapa Arusha, akawa rafiki yangu akaniambia kama atapewa kibali cha kuajiri atanipa nafasi. Kibali hakupewa akaniambia njoo usimamie kitengo cha parcel then tuone nn cha kufanya. Ila cha ajabu mm ndio nimekuwa Porter. Na kuna nyepesi kwamba analetwa karani kutoka makao makuu DSM. Ila mm nimesoma BBA in Accounting. Ushauri wako ni muhimu.