Wanangu na nyie mtazaa tu

[emoji1][emoji1][emoji1]Hatimae siku yangu imeweza kuisha vizuri baada ya kuingia tu JF na kukutana na thread ya "....Na hii ndio safari yangu ya maisha..."

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Bado hivi vijamaa ambavyo ikifikaga siku ya wanawake vinajifanya mamazao ndio kila kitu na kuona baba zao ni mbuzi tu na vile vimsemo vya vya my mama is everything sijui queen Nini Nini huko

Tunawakumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani
 
Ha ha ha..
Wanatusahau baba zao tunaovuja jasho kwa ajili yao[emoji2]
 
Bado hivi vijamaa ambavyo ikifikaga siku ya wanawake vinajifanya mamazao ndio kila kitu na kuona baba zao ni mbuzi tu na vile vimsemo vya vya my mama is everything sijui queen Nini Nini huko

Tunawakumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani
Battle na mwanamke ni ngumu. Mwanamke ana nguvu za kipekee Sana.
 
Ahahaha nimecheka kwa vile mtoto hyo ndiio mam ake alikuzid Zaid ya miak 30 hv
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji848] ndo huyo aisee
Ndio yule mwenye πŸ‘ƒπŸ‘ƒπŸ‘ƒ kama la Baba yako aliyesababisha mama akasirike kwani mama yake alikuwa sawa na mama yako Mkubwa?
 
Kipindi niko drs1 tu nilikuwa nikipita kwa familia flani kunywa maji nikitoka shule. Hiyo familia kulikuwa na binti rika langu yeye hakuwa anasoma, nilikuwa nafanya matusi naye wazazi wake wakiwa hawapo.

Sasa kwenye utu uzima, Nina kitoto cha kiume kipo chekechea tu, mwl wake ameniitia shitaka la kufanya "matusi" na kasichana wanakosoma Nako! Dah, KARMA is a bitch!
 
Hahhaah
 
Amefata nyayo [emoji28][emoji28]
 
Ni kweli wewe ni baba mpumbavu unauliza maswali mengi na huna uwezo wa kulea mtoto mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww ni baba mpumbavu
 
Ni kweli wewe ni baba mpumbavu unauliza maswali mengi na huna uwezo wa kulea mtoto mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww ni baba mpumbavu
Zamu yako itafika mkuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…