Wanangu na nyie mtazaa tu

Juzi hapa nilichelewa kuamka ile halaka halaka Asbh nikasahau kumuwekea juice kwenye contena lake la msosi jioni kurudi ananisomea kesi Baba ww una Roho mbaya ujaniwekea juice na chakula chako mie sijala leo kufungua contena kweli lipo vile vile na msosi wake...
 
Hahahaha
 
umenifundisha jambo kubwa sana, namtumia pesa mzee hata asante hatoi, nilichojifunza ni kuendelea kutuma tu. siongei naye sana naweza kata miezi hata mi3.

Naona hekima ya chapisho lako, Mzee amebaki yeye mkewe aliishakwenda mbinguni.
Analyse lkn naona ninacokifanya kama nafanya alivyomfanyie babu, yaani babake baba
 
Mpe support mzee wako kadri uwezavyo mkuu. Maisha ndio haya haya.
 
Pole sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakumbuka msemo wa Mama yangu nawe utazaa tu siku moja.
Wazazi kuna muda tulikuwa tunawachosha[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimeumia sana sana sanaaa. Halafu ukafanyaje?? Kweli Pumbavu weweeee.
Mimi nimecheka sana, nikifikiria kijisauti cha mtoto, mawazo ya mtoto, nini kimempelekea kusema vile!
 
'Watundu japo si watukutu'. Pata mtazamo wa wazee wako ndio ujijue ulikuwa mtoto wa aina gani.
 
Poleni! Inaelekea mama yenu alijutia kuwa nanyi.
 
We baba una maswali ya kipumbavu hadi mtoto anajua😂😂
 
Pole sana, kwa nini usifanye mpango umchukue mtoto wako, malezi mazuri ya mtoto ni kutoka kwa mzazi wake, simaanishi kwamba wazazi wako sio wazazi wazueri ila you need to experience that parentalhood na kujenga bond na mtoto wako
 
Mtoto wa miaka mitano (5) ndo unasema una mtoto 'mkubwa' tu, una ujinga mwingi sana…. kweli PUMBAVU wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…