Hali hiyo inachangiwa na wao wenyewe hasa *wake*kwa kupenda SEX TOO MUCH kiasi kwamba tendo linakuwa 'Monotonous' na linapoteza mvuto.
Wazee wa zamani walikuwa wakilala vitanda tofauti na wake zao, na sometimes walikuwa wakilala na Nguo zao bila kuvua chupi. Siku ya kupiga show ndio mama anahamia kwenye kitanda cha baba ambavyo vilikuwa na udogo Kama wa futi mbili au tatu tu, tena cha Kamba ili wakutanie kati Kati, tofauti na siku hizi eti wanandoa wanalala uchi siku zote, tena kwenye Tanda la Sita kwa sita linaloruhusu wapenzi hao kukwepana.. matokeo yake papuchi inazoeleka mno hadi inakuwa haina tofauti na kiungo kingine chochote cha mwili, Kama vile goti au kiwiko ambavyo havipelekei kusimika mkambi,ndio sababu za kuchokana.