muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,038
- 1,448
Katika pita pita kwa marafiki ofisini asilimia kubwa ya story za mapenzi ofisini ni wanandoa kukosa hisia za mapenzi. Kuna shoga mmoja alisimulia kuwa mmeo amelala naye mwezi mzima walikutana siku moja tu.
What might be the problem?
Wanandoa wengi wamepoteza hisia kwa wenzi wao, wanaishi tu kwa kufuata sheria lakini wengi wamewachoka wenzi wao.
Je tatizo lipo kwa wanaume au wanawake au wote?
Nini kifanyike kurudisha sexual emotion kama walivyokuwa wapenzi kwa ustawi wa NDOA?