Wanandoa wasilale chumba kimoja na watoto wanaweza kuongea!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa wasilale chumba kimoja na watoto wanaweza kuongea!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Dick, Aug 20, 2010.

 1. D

  Dick JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanandoa fulani waliendelea kulala chumba kimoja na mtoto mkubwa anayeweza kuongea, labda kwa sababu ya uwezo mdogo wa kupanga chumba cha pili. Huyo mtoto alikuwa na tabia ya kukojoa kitandani kila anapokuwa usingizini. Mama yake alijitahidi kumuonya bila mafanikio. Siku moja mamake aliamua kumuadhibu kwa kosa la kukojoa kitandani. Mama yule alipokuwa anamuadhibu, mtoto yule alilalamika akisema kuwa 'mbona wengine wakikojoa kitandani huwachapi, lakini mimi nikikojoa unanichapa?' Mama yule akamuuliza mwanae kuwa 'ni nani mwingine anayekojoa kitandani simchapi?' Mtoto akajibu akasema 'mbona baba mkilala anakuambia anakojoa na wewe unamwambia kojoa tu mpenzi, halafu humchapi?' Mama yule aliondoka kwa aibu hakumchapa tena.

  WanaJF tuwe makini na hali kama hizi!
   
 2. anania

  anania Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu nimeenda kuripoti polisi kwani umenivunja mbavu tatu so you are most wanted also thnx kwa kuniondolea stress
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Angemueleza tu kwamba kaanza kumchapa yeye halafu baadaye atamchapa baba
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ukijua unalala na mtoto mkubwa2 unafanya usiku wa manane na kimya2 hamana kunong'ona hata ukinogewa, ikibidi unashindilia nguo mdomoni ili sauti isitoke
   
 5. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu Anani AVATAR yako kali
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wengine hawalali kila siku watakuwa wanavizia kusubiri huo muda ufike. labda hiyo mbinu ya kuweka nguo mdomoni.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280
  Mitoto mingine utadhani imepatikana kwa dawa
   
Loading...