Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
wakinuniana wanajenga penzi lao
siku wakiongea mahaba shatashata!!
ugomvi hua unapalilia penzi lililokufa atiii!!
kwani wamekua wanyama?
si sawa though sioni tofauti ya kuandaliwa na kupandiwa tukwa miss chagga jamaaa angebaka tu.......ukitendewa utafurahi
Hii imemtokea rafiki yangu so akaja kuniomba ushauri!
Yeye na mke wake kwa sasa wamenuniana ndani ya Nyumba, chanzo ni mwanamke anamtuhumu mumewe kuwa anamega nje ya ndoa, mume anasema si kweli na kama anao ushahidi alete, mke anasema ameambiwa na mtu lakini hataki kumtaja.
Sasa wakanuniana, lakini aliyeanza ni mwanamke, basi mwanaume usiku mmoja wakiwa kitandani akamtumia mke wake "sms" kuwa "Naomba k. nina hamu" mke alipoona hiyo sms akajibu "wewe nani"? mme wake akajibu "Ina maana ushafuta namba yangu"? mke akajibu "Sema wewe nani kama hutaki acha" mme akajibu "geuka nyuma yao" mke alipojigeuza akasema khaaaa!!! then akasunya.....akamjibu kuwa "Kama ndo wewe hapa hupati kitu hadi uniambie nani unatembea naye huko?....
Ndani hawaongei ila kwa simu tu!! nimesoma sms, zingine zinasema "Njoo ule" "Nenda uoge" "naomba pesa ya mboga" "kachukue kitandani" yaan sms ni nyingi sana.
Sasa jamani huyu jamaa ndo akaja kwangu akanipa simu yake nikasoma hizo sms akaniambia nimsaidie ku-mediate huo ugomvi wao, ila akasema yeye kwa kweli hana mpenzi nje.
Nimsaidieje jamani?????
wakinuniana wanajenga penzi lao
siku wakiongea mahaba shatashata!!
ugomvi hua unapalilia penzi lililokufa atiii!!
hii imemtokea rafiki yangu so akaja kuniomba ushauri!
Yeye na mke wake kwa sasa wamenuniana ndani ya nyumba, chanzo ni mwanamke anamtuhumu mumewe kuwa anamega nje ya ndoa, mume anasema si kweli na kama anao ushahidi alete, mke anasema ameambiwa na mtu lakini hataki kumtaja.
Sasa wakanuniana, lakini aliyeanza ni mwanamke, basi mwanaume usiku mmoja wakiwa kitandani akamtumia mke wake "sms" kuwa "naomba k. Nina hamu" mke alipoona hiyo sms akajibu "wewe nani"? Mme wake akajibu "ina maana ushafuta namba yangu"? Mke akajibu "sema wewe nani kama hutaki acha" mme akajibu "geuka nyuma yao" mke alipojigeuza akasema khaaaa!!! Then akasunya.....akamjibu kuwa "kama ndo wewe hapa hupati kitu hadi uniambie nani unatembea naye huko?....
Ndani hawaongei ila kwa simu tu!! Nimesoma sms, zingine zinasema "njoo ule" "nenda uoge" "naomba pesa ya mboga" "kachukue kitandani" yaan sms ni nyingi sana.
Sasa jamani huyu jamaa ndo akaja kwangu akanipa simu yake nikasoma hizo sms akaniambia nimsaidie ku-mediate huo ugomvi wao, ila akasema yeye kwa kweli hana mpenzi nje.
Nimsaidieje jamani?????
kumbuka jamaa anadai hajapiga mechi za ugenini....akiomba msamaha maana yake anakiri kosa ambalo hajafanyaHii kali,,, aombe tu msamaha.
kumbuka jamaa anadai hajapiga mechi za ugenini....akiomba msamaha maana yake anakiri kosa ambalo hajafanya