kuna mmoja ni mliberali hapo!wanandoa wa jinsia moja hao sio??
udikteta tu wananchi washaamua tatu kwa nini mtulazimishe mbili?
Sijui Tume ya Jaji Warioba waliiunda kwa kazi gani! Hawa watu wananichanganya sana
Huyu mwanamke wa 2 kajeuri kweli msikilize mme wako anakushauri 3 utaachika oohooh