Wanandoa wagegedane mara ngapi kwa wiki?

kindly click here to read


kama unamaanisha wiki yenye siku saba basi si chini ya mara 21 yaani 1x3/7
Spoiler!!! ukisafiri wiki unamuacha wife na alosto kinyama lazima atafute chalii wa kuituliza
 
wew c bure unaishi kwenu au huna majukumu bado
samahani wew ni wa daslam
unakula vumbi la kicongo soon tutakusaidia uyo mkeo endelea kula vumbi
 

Mara 7 yaani kila siku..si mmehalalalishwa kanisani kulala uchi milele na kuchangia shuka!???na mashahidi wa kutosha..We gonganeni tu ikibidi muicopy ratiba ya british airways au hata ya precision ndo mfuatishe
 
Swadakta
 

Ndoa mpya utafanya kila siku na kwambia haswa kama uyo mkeo mlikua hamuishi pamoja mlikua mkiibiana tu... Nina miaka 12 sasa kwenye ndoa na ninauwezo wa kufanya hata Mara 5 kwa wiki depends na mood wakati mwingine naweza maliza wiki lakini sijawahi kaa wiki 2
labda jiwe mmoja kasafiri
 
huu ndio ukweli sidhani kam kuna limit...mkipata mihemko tu hamna budi kujipa raha si kila mmoja aliondoka kwao akafata hiyo kitu kwani kwa wazazi hakukuwa na vyakula au mavazi...

mtakapojisikia tu basi kwa raha zenu tabu ya kujibanabana inahusuu
haihusuuu... nashangaa watu wanabaniana mavituz na wakati ni wanandoa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…