msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
Hii maalum kwa wakina mama, wanawake.
...sometimes mnakosea Sana juu ya kuyafanya mahusiano yako yawe na Afya.
Mwanaume katika Ndoa Haitaji kupendwa Toka kwako, Kitu pekee anachokihitaji mwanamke toka kwa Mwanamke /Mkewe ni Heshima/Utii.
Ila Wewe mwanamke Ndo unatakiwa Kupendwa na kuoneshwa upendo toka kwa Mumeo au Jamaa yake.
#MAHUSIANOYENYEAFYA