Fedha za familia ni zipi? Zza mke au mme au wote wawili? Je siku zoteYapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.
Mgeni kuja nyumbani kuwatembelea na hata kuja kuishi huwa ni baraka, unless
Masuala kama ujenzi, ununuzi wowote mkubwa au kumhudumia mtu au mwanandugu kama ada, matibabu na shughuli yoyote ile inayohusisha uchotaji wa fedha nyingi za familia hapo usiposhirikishwa,lalamika.
Hujajosea. Ishi na mtu Kama tu inabidi iwe hivyo.Minimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia aje anasema kazi nyingi hawezi anataka msaidizi na yeye no mama Wa nyumbani watoto tunao wawili tu nyumba in vyumba 2 na sebule nataka nimchane live kuwa sitaki familia kwa sasa nataka nikae mm na watoto coz kipayo kimeshuka take wwnyewe ntakuwa nimekosea?
Fedha ya familia ni yafamilia tu, haijalishi katafuta baba au mama,unless kama kuna makubaliano mengine, ila katika mazingira ya kawaida mali zote ikiwemo pesa huwa ni ya familia.Fedha za familia ni zipi? Zza mke au mme au wote wawili? Je siku zote
Iko hivyo hata kama hakuna wageni? Na ushirikishwaji maana yake nini? Ni kujadili na kupiga kura? Kama msimamo ni 50% kwa 50%? Je kiongozi wa hiyo familia ni nani? Familia nyingi zina anarchy kutokana kuingizwa ujuaji mwingi.
Ni muhimu kuzungumza/kujadiliana/kushirikishana kwa jambo lolote.Mume ndiye kiongozi wa familia na ndiye mwenye kauli ya mwisho.Kama ambavyo mume anapaswa kumpenda mkewe, ndivyo hivyo hivyo mke hana budi kumtii mumewe.Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna anaishi na wifi zake 2 mme anapigiwa cm kwao fulan anakuja kukaa huko amwambii mkewe ,, mke anashtuka tu mgen kafika au anaambiwa mgen yupo njiani anakuja
Mi nauliza tu kwenye ndoa inakuaje? au kutokana na makubaliano yenu
Hujakosea.Pia ulipaswa kumwambia mara ya kwanza kabisa alivyomleta mdogo wake.Minimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia aje anasema kazi nyingi hawezi anataka msaidizi na yeye no mama Wa nyumbani watoto tunao wawili tu nyumba in vyumba 2 na sebule nataka nimchane live kuwa sitaki familia kwa sasa nataka nikae mm na watoto coz kipayo kimeshuka take wwnyewe ntakuwa nimekosea?
Awamu hii itatugombanisha mpk na wakweMinimekaa na familia ya upande wangu na Wa mke kwa muda ila kwa sasa uchumi wangu umeyumba nimeamua sitaki kukaa na familia kubwa lkn wife kaleta mdogo wake Wa kiume aje akae hapo home tena bila taatifa yaani nimeambiwa wakati wameshakubaliana sijakaa vizuri Luna msichana ndugu yake keshamwambia aje anasema kazi nyingi hawezi anataka msaidizi na yeye no mama Wa nyumbani watoto tunao wawili tu nyumba in vyumba 2 na sebule nataka nimchane live kuwa sitaki familia kwa sasa nataka nikae mm na watoto coz kipayo kimeshuka take wwnyewe ntakuwa nimekosea?
Na hapa naongelea mgeni anaekaa mda mrefu mwaka na kuendelea ukoBinafsi sitaki kupewa taarifa, mtu kukupa taarifa ni kwamba wameshashajadiliana huko na anakuja tu kukuambia kuwa the family(yeye na ndugu zake) wamekubaliana hivyo, which means you're third party katika nyumba yako.
Haya mambo lazima mshirikishane, hasa kama mtu anakuja kuweka kambi kwa muda mrefu.
Huo ni mtazamo wako mkuu, kwangu ukileta mtu bila taarifa anarud mbinde mbinde na kichapo unakula!!!Yapo ya kushirikishwa na yapo ya kupewa taarifa tu.
Mgeni kuja nyumbani kuwatembelea na hata kuja kuishi huwa ni baraka, unless unamambo yako unayoyaficha, lakini mgeni yoyote kwa upande wowote ule ni baraka, ili mradi una nafasi ya kumu accommodate. Kwa hy hilo halihitaji ushirikishwaji iwe kwa upande wowote ule, kwako ama kwake.
Masuala kama ujenzi, ununuzi wowote mkubwa au kumhudumia mtu au mwanandugu kama ada, matibabu na shughuli yoyote ile inayohusisha uchotaji wa fedha nyingi za familia hapo usiposhirikishwa,lalamika.
Umenena vyema mkuu, kwa upande wangu mke akiniletea mgeni ndan sina taarifa, si yeye wala wageni wake watapata taab sanaHuwezi kushtukiza mke wako au.mume.wako kuhuau ugeni unaokuja ndani mwenu. Ugeni utakosa baraka za familia. Ugeni ktk familia neema na baraka lazima.mlipangr vizuri wageni wakija waishi kwa amani. Kwahiyo majadiliano ni muhimu. Mjue watalala wapi na watakula nini.
Du!Ukirihusu kupokea wageni bila taarifa wala kushirikishwa mwisho wa siku utaletewa michepuko ndan uigaramie chakula na malazi ukiambiwa huyu ni nan yang cjui vp!!
Kwangu lazima uniambie, tena sio kama taarifa, ulilete kama wazo, af nitapembua kwa akil yangu, nitaangalia niko vp kiuchumi af baada ya hapo ndo tunajadilo sasa na mke(baada ya kulichambua kichwani mwangu peke yangu ndo nalileta mezan kujadiliwa)
mke anayo nafasi na lazima iheshimiwe........kuwaalika ndugu kuja bila ya kupeana taarifa ni mbaya sana,,haifai...lazima kuwe na taarifa na ndio maana ya kusikilizana......hawapaswi kuhamia......maisha magumu jamani......labda kama ni kumuuguza...hi nadhan inategemea na nafasi ya mke ndani
Hujanielewa, digest vizuriFedha ya familia ni yafamilia tu, haijalishi katafuta baba au mama,unless kama kuna makubaliano mengine, ila katika mazingira ya kawaida mali zote ikiwemo pesa huwa ni ya familia.
Ushirikishwaji huwa mkubwa kwa yale ambayo huwa yana athari kubwa kwenye familia...mfano ununuzi wa Mali kama mashamba, gari, kiwanja, ujenzi, masuala ya kupanga uzazi, safari, kwenda masomoni, kutoa msaada, kusomesha watoto au ndugu n.k.
Mgeni kwa wanaosali wanaamini familia isiyo na wageni huwa haina baraka. Na kweli ndio hivyo, na mtu huwa haombi kuja kukutembea, anachofanya ni kutoa taarifa tu kuwa weekend au likizo hii nitakuja kwako, hakuna option ya NO, unless hautakuwepo...lakini kama kuna nafasi ya kumhifadhi na ikibidi kumsaidia, Fanya hivyo, usiwaze kuhusu chakula wala pa kulala.
Ndugu ukiwa mjini alafu unanafasi kidogo swala la ndugu kulikwepa hauwezimke anayo nafasi na lazima iheshimiwe........kuwaalika ndugu kuja bila ya kupeana taarifa ni mbaya sana,,haifai...lazima kuwe na taarifa na ndio maana ya kusikilizana......hawapaswi kuhamia......maisha magumu jamani......labda kama ni kumuuguza...