PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
Kutokuwa na ubora kwa ndoa za sasa hivi ni matokeo ya
a) Uhusiano wa Mungu na mwanadamu kudorora; kama hofu ya Mungu haiko ndani yako utamuheshimu mkeo/mmeo ambaye ni binadamu? Mungu ni Upendo (God is love) yani kama huna yeye-how do you love sasa???
b) Uhusiano wa watu na wazazi wao(inayosababishwa na kipengele a pia). Watu siku hizi wakiaza kujitegemea hudharau wazazi huwaona kama ombaomba na wasumbufu. Zamani baba akisema BABA kasema hata kama una watoto unatii. Kwa kweli mimi nimewahi kumshuhudia my great grandpa namuagiza my grandpa kitu na babu akaenda kuchukua bila ubishi wakati angeweza kuniita na kuniagiza. We mamako anakuja kusuluhisha ugomvi wako wa kipuuzi na anashindwa kwa sababu unamuona si wa maana sababu hakulishi!
c) Humanity in general imefifia. Yani mtu akimuangalia mwanamke/mwanaume anaona ni kama object ya kufulfil desire yake na si kama kiumbe mwenye feeling anayehitaji kusikilizwa, kuheshimiwa!
Kwa kifupi tutajuta sana kwa haya maisha tuliyochagua kuishi....Yani watu tuna Roho mbaya!!!!!!!