miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Ha ha ha eti wanasema dawa yenu ni hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeah...... Wanadhan utasema huwapendi
rudia kipande hiki.Kaka usiombe ndoa zimeficha mengi.
Mazowea na kuzowean sana bila mipaka huponza wengi.
Use Mwanamke au Mwanandoa ndani ya ndoa au nje ya ndoa mazowea yasiyo na mipaka ni bomu
kwahyo ukirudi hauna habari naeMchepuko....sitak shida
Yeah....! Hakuna sababu ya kufanya tendo huku una stresskwahyo ukirudi hauna habari nae
Watafute nyingine Hiyo sio dawa saana wanajitafutia michepukoHa ha ha eti wanasema dawa yenu ni hiyo
Me naona dawa nzuri ni kumuomba helaWatafute nyingine Hiyo sio dawa saana wanajitafutia michepuko
Hela????? Yani katikat ya shughuli unaleta mambo ya kijinga miss chagga???Me naona dawa nzuri ni kumuomba hela
Kabla ya shughuliHela????? Yani katikat ya shughuli unaleta mambo ya kijinga miss chagga???
Hahaha....Kabla ya shughuli
sawaYeah....! Hakuna sababu ya kufanya tendo huku una stress
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] !!Akikatiza tendo na kuleta mada za kijinga naachia kati naenda kuoga, navaa fresh naenda kuangalia tv au kama ni mchana natoka kidogo.
Mda wa kazi ni kazi sio kuibua mada za kijinga.
Hakuna namna maana unamtunzia kisugulio chake hukitumii huko nje alafu analeta ujinga mda wa huduma.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] !!
we umepinda sana ujue!
Hivi vitu vinawezekana kweli....?!!Hakuna namna maana unamtunzia kisugulio chake hukitumii huko nje alafu analeta ujinga mda wa huduma.
Wengine unakuta ni mke, mpenzi au mchumba.Hivi vitu vinawezekana kweli....?!!
Dahhh....anayefanya hvyo ni mke au kahaba?!!
Wengine unakuta ni mke, mpenzi au mchumba.
Wanadhani katikati ya show ndo mwanaume hana ijanja wa kukataa jambo kumbe wengine sie vizibo, mda wowote twazibuka.
Waache wajifanye wehu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amoxylin nimekugawanya
mke,mchumba na gf anayefanya hvyo ni mwehu,tena haijui thamani yake
Lile tendo lilivyo tamu halafu unaingiza ushenzi ushenzi!!!!
Ujinga huoo!!mi nasemaa....