Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,614 Jul 16, 2013 #41 JICHO TAI said: ni kweli mkuu hebu fikiria baridi ya siku hizi jamani kipenzi chako kiko mbali nawe? mm wife alikuwa anaweka mtt wetu mchanga katikati baridi imemfanya amsukumie mtt mbali akamfuata mme wake! chezea baridi ww! Click to expand... wambie kiongozi, chezea kukumbatiwa na umpendaye!
JICHO TAI said: ni kweli mkuu hebu fikiria baridi ya siku hizi jamani kipenzi chako kiko mbali nawe? mm wife alikuwa anaweka mtt wetu mchanga katikati baridi imemfanya amsukumie mtt mbali akamfuata mme wake! chezea baridi ww! Click to expand... wambie kiongozi, chezea kukumbatiwa na umpendaye!
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,614 Jul 16, 2013 #42 georgeallen said: mwana mayo, Waweja sana! Click to expand... pamoja kiongozi